General Stalin
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 652
- 501
Nimesoma post yako imekaa kama kejeli sijui dharau kwa jeshi letu la ulinzi hivyo hicho unachokitafuta utakipata ili uwe mfano kwa wengine.Mzuqa
Mda siyo mrefu natinga hapo Dar halafu ntaelekea Arusha kwaajili ya mapumziko ya Kristmas na kukimbia hili pupwe kwa muda.
Nimenunua Drone Amazon. Sasa nataka nikifika Dar tu sitaji siku nataka kuirusha kwa utafiti na for fun.
Nitaanza kuirushu anga ya makumbusho na kijitonyama. Nitaielekeza pia iruke anga karibu na Mo alipotekwa akienda gym. Nitairusha maeneo ya Ferry.
Nitairudisha juu ya bahari hadi kawe nakupita lugalo hadi makongo juu.
Nitazidi kuilekeza maeneo ya kipawa ukonga na gongo lamboto.
Pia for fun tu maeneo ya salasala. Licha ya Dar es salaam nataka niirushe hadi ngerengere.
Kuna utafiti yakinifu nafanya kuhusu global climate change and rising sea level.
Yeereeeeeh!
Nimesoma post yako imekaa kama kejeli sijui dharau kwa jeshi letu la ulinzi hivyo hicho unachokitafuta utakipata ili uwe mfano kwa wengine.
Kimsingi anga lote la Tanzania lipo chini ya ulinzi wa Jeshi hivyo ukitaka kurusha hicho ki mdoli chako nenda makao makuu ya jeshi upewe kibali na ufafanuzi
Nilitaka kusema hili pia, kwamba awe na kibali na asisahau akitaka kurudi ulaya awe na nyaraka zote na mikatabaumesahau ukitaka kurusha drone mpaka uwe na kibali au ruhusa kamili
Kurusha Drone Mpaka upewe kibali na TCCIA.
Kuishi nchi hii ni kama uko JELA.
Visheria koko, kandamizi na masharti kiuanzia unaamka mpaka unalala kama kuishi kwa SANGOMA.
Eti analindwa na wanajeshi toka rwandwa na mibunduki, watu tuko advance kwenye tech.Mzuqa
Mda siyo mrefu natinga hapo Dar halafu ntaelekea Arusha kwaajili ya mapumziko ya Kristmas na kukimbia hili pupwe kwa muda.
Nimenunua Drone Amazon. Sasa nataka nikifika Dar tu sitaji siku nataka kuirusha kwa utafiti na for fun.
Nitaanza kuirushu anga ya makumbusho na kijitonyama. Nitaielekeza pia iruke anga karibu na Mo alipotekwa akienda gym. Nitairusha maeneo ya Ferry.
Nitairudisha juu ya bahari hadi kawe nakupita lugalo hadi makongo juu.
Nitazidi kuilekeza maeneo ya kipawa ukonga na gongo lamboto.
Pia for fun tu maeneo ya salasala. Licha ya Dar es salaam nataka niirushe hadi ngerengere.
Kuna utafiti yakinifu nafanya kuhusu global climate change and rising sea level.
Yeereeeeeh!
Gatwick airport ndio imefunguliwa baada ya drones kuonekana maeneo ya kurukia ndegeKurusha Drone Mpaka upewe kibali na TCCIA.
Kuishi nchi hii ni kama uko JELA.
Visheria koko, kandamizi na masharti kiuanzia unaamka mpaka unalala kama kuishi kwa SANGOMA.