Nataka kurusha Drone anga ya Dar

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Mzuqa

Mda siyo mrefu natinga hapo Dar halafu ntaelekea Arusha kwaajili ya mapumziko ya Kristmas na kukimbia hili pupwe kwa muda.

Nimenunua Drone Amazon. Sasa nataka nikifika Dar tu sitaji siku nataka kuirusha kwa utafiti na for fun.

Nitaanza kuirushu anga ya makumbusho na kijitonyama. Nitaielekeza pia iruke anga karibu na Mo alipotekwa akienda gym. Nitairusha maeneo ya Ferry.

Nitairudisha juu ya bahari hadi kawe nakupita lugalo hadi makongo juu.

Nitazidi kuilekeza maeneo ya kipawa ukonga na gongo lamboto.

Pia for fun tu maeneo ya salasala. Licha ya Dar es salaam nataka niirushe hadi ngerengere.

Kuna utafiti yakinifu nafanya kuhusu global climate change and rising sea level.

Yeereeeeeh!
 
Mkuu naona powerball na megamillions inazidi kupaa tu
Ipo ngapi sasahivi? Tokea ile ya billion sijakusikia tena🀣🀣


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Ukienda Arusha pia uende ukairushe pale Tanzania military academy just for funny.ipite ...afu utuletee mrejesho
 
Hapo rusha wewe na wazazi wako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kurusha Drone Mpaka upewe kibali na TCCIA.

Kuishi nchi hii ni kama uko JELA.

Visheria koko, kandamizi na masharti kiuanzia unaamka mpaka unalala kama kuishi kwa SANGOMA.
 
Jon.umedata vibayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..eti ngerengereπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eti lugalo..khaa kweli ww comedian tosha..hebu muone makonda akupe basi kibali urushe for fun bwana we kwani sh ngap bwana
 
Kibali kibali kibali,Bila hicho itakula kwako mkuuu na xmass and new itailia gerezani.
Hongera drone nilishawahi kutumia somewhere kwenye Harusi ya mdogo wangu, ila sijaomba kibali maana ilikuwa Kanisani nje na baadhi ya maeneo walipoenda kupiga picture ila drone ni Tamu Sana kwa picture aise
 
Ikilusha maeneo ya feli naomba uje unipe taharifa ya utafiti wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…