edgar90
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 145
- 116
Habarini wanajamii forums,
Mimi ni mwalimu ,Huu mwaka nilikua na mpango wa kwenda kusoma,sasa Ndalichako nae kaja na yake 3.5GPA hakuna aliyepata chuo cha diploma ya elimu.
Sasa nimeona nirisiti lakini nikiangalia matokeo ya form six waliorisiti ni balaaa ,wengi PCM wamepata ziro!! Sasa nafikiria jinsi ya kupambana na mtihani hasa practicals na materials mengine laa sivyo nitastaafia na diploma jamani!!
Naombeni ushauri.