Kwa mmi mtazamo wangu kama utaweza..anza diploma ya engineering unayoitaka..ila kuptia form six tena ndugu itakubana...uzuri wa diploma unaweza kuwa unasoma huku unatafuta maisha badoNina miaka27 Mimi ni mwalimu napenda kuendelea mbele na elimu yangu degree, pH,master,proffers nk
Naweza kusoma deploma huku nikiwa kwenye majukumu yangu ya kazi? Na application zake zipoje?Kwa mmi mtazamo wangu kama utaweza..anza diploma ya engineering unayoitaka..ila kuptia form six tena ndugu itakubana...uzuri wa diploma unaweza kuwa unasoma huku unatafuta maisha bado
Hyo inawezekana japo ujue itakuchukua miaka mi 3 ukianzia certfct..ila uwezekano wake navoona ni kwa wwe mwnyw kujarbu kubalnc hzo ratba mbili...applctn yake ingia nacte.go.tz jaribu kufwatliaNaweza kusoma deploma huku nikiwa kwenye majukumu yangu ya kazi? Na application zake zipoje?
achana na PCM fanya advanced diploma ya ualimu then post graduate yeyoteHabarini wanajamii forums,
Mimi ni mwalimu ,Huu mwaka nilikua na mpango wa kwenda kusoma,sasa Ndalichako nae kaja na yake 3.5GPA hakuna aliyepata chuo cha diploma ya elimu.
Sasa nimeona nirisiti lakini nikiangalia matokeo ya form six waliorisiti ni balaaa ,wengi PCM wamepata ziro!! Sasa nafikiria jinsi ya kupambana na mtihani hasa practicals na materials mengine laa sivyo nitastaafia na diploma jamani!!
Naombeni ushauri.
Foundation course utasoma yale masomo ya combination yako kwa miezi mitano approximately ukifaulu unaenda degree ni mirahisi naona wa PCM wanaifaulu tu.Hiyo foundation course inakuwaje?
unaweza kubadili fani kwa kufanya mitihani ya bodi ya manunuzi au wahasibuNina miaka27 Mimi ni mwalimu napenda kuendelea mbele na elimu yangu degree, pH,master,proffers nk
h uyu jamaa amesema diploma anayo tayariUkisoma Diploma itakua kama cover kama utashindwa kufikisha GPA ya 3.5. Kuliko kurisiti na kufeli.
NBAA ( Bodi ya wahasibu) ipo mtaa wa akiba DSM, ipo karibu na Tanganyika library( katikati ya CBE na tangayika library au bodi ya manunuzi ipo barabara ya nyerere karibu na wizara ya maliasili, mpingo house, kwa taarifa zaidi nenda kwenye website zaoHiyo mitihani unajiungaje ?
Ofisi zao zipowapi?
Atafute kazi ya kufanya tu.h
h uyu jamaa amesema diploma anayo tayari
yes, lakini yy Anaona kusoma saana ndio solution ya maisha yakeAtafute kazi ya kufanya tu.
Mi nna mdogo angu Diploma lower Second class na A level principal pass 1 afanyeje?Foundation course utasoma yale masomo ya combination yako kwa miezi mitano approximately ukifaulu unaenda degree ni mirahisi naona wa PCM wanaifaulu tu.