Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
yes, lakini yy Anaona kusoma saana ndio solution ya maisha yake

yes, lakini yy Anaona kusoma saana ndio solution ya maisha yake

Check PMNaomba namba yako kama hautojali
Waone open university wampe outline na requirements anaanza masomo nimeona wanaoanza foundation course na certificate next year unawakuta undergraduate atakua huyo wa diploma.Mi nna mdogo angu Diploma lower Second class na A level principal pass 1 afanyeje?