TheEagle90
New Member
- Jan 28, 2019
- 1
- 1
Unaweza kurudia na ukafanya vizuri tu. Wapo wenzako waliokuwa na shida ya credits kama wewe lakini walisoma advance kutumia special need programs, na sasa wapo vyuoni wakichukua first degree zao. Na hata sasa hivi wapo wengine.....nakushauri kijana, achana na mambo ya collage, kubali kupiga tena pepa katika mfumo wa ajabu sana, afu utakuja siku moja kuniambia.Nilifanya necta advanced 2016 nikafel nilipata principal moja,nikarisit 2017 nikafel;SWALI LANGU
Je nirudie tena ama nianze kusoma collage?
Na je nikitaka kufanya yote masomo matatu nakuwa kama risitaz ama candidate wa kawaida na inawezekana?Pia naskia wanaoludia mitihan yao inasahihishwa tofaut na wengine je nikwel?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nin ndot yako ! Ndio jib rahis ikiwa hich ulichopata kitakuwezesha hata kwa level ndog Bora uanza maan mfumo unavadilik Kila siku utajikuta baaday huna sif kumbe ulizembeaNilifanya necta advanced 2016 nikafel nilipata principal moja,nikarisit 2017 nikafel;SWALI LANGU
Je nirudie tena ama nianze kusoma collage?
Na je nikitaka kufanya yote masomo matatu nakuwa kama risitaz ama candidate wa kawaida na inawezekana?Pia naskia wanaoludia mitihan yao inasahihishwa tofaut na wengine je nikwel?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapoteza hela zako tu, bora uangalie upande mwingine wa shilingiNilifanya necta advanced 2016 nikafel nilipata principal moja,nikarisit 2017 nikafel;SWALI LANGU