Mentor naona kile kitengo chenu cha kupambana na Ukimwi kimeanzisha style mpya ya kusambaza ujumbe wao.Jitafakari then jiulize, NATAKIWA KUPIMA? Nafsi ikikataa kwenda jiambie tu moyoni, Ah, namsindikiza Mentor..then, CHUKUA HATUA!!!!!
saudari jibu hilo hapo...Cc: wengine wote mtakaoulizia majibu yangu:Mentor naona kile kitengo chenu cha kupambana na Ukimwi kimeanzisha style mpya ya kusambaza ujumbe wao.
Back to topic.
Hongera kwa ujasiri ulio uonyesha hapa Jf wa kutaka kuijua afya yako ila sitegemei kama utaishia hapa hapa Jf, naamini utafanya kwa vitendo.
Usisahau kunPM matokeo yako kama hutojali.
...ukitaka jiunge na mimi mara ya mwisho ni lini we ulipima
...CHUKUA HATUA!!!!!
Muda wooote tangu utuambie unataka kupima kumbe ulikuwa bado? Au hii ni mara ya pili? Hahahaaaa......
mi mara ya mwisho nilienda kupima na beby wangu pale amref yaani majibu ni hapo hapo babu....Hii mara ya 3 hadi angaza wameshanizoea... Sema majibu ndio bado sijayachukua lol
mi mara ya mwisho nilienda kupima na beby wangu pale amref yaani majibu ni hapo hapo babu....
Hii mara ya 3 hadi angaza wameshanizoea... Sema majibu ndio bado sijayachukua lol
Hahahaaaaa..... Sasa majibu unamuachia nani huko ANGAZA?
Twende nikusindikize nikusaidie kuyachukua hayo majibu yako..!!
kama unatoka mwenge kupitia alhasan mwinyi road kwenda posta utapaona dear ..yaani anawatoa damu hapo hapo huku anawashauri kipimo kinasoma..huwezi kimbia majibu...ila sidhani kama wanafanya vizuri maana maana kama unao duh sijui itakuwajehapo Amref ni wapi Smile? na me nataka kupima serious
toka siku ile hujapima?nenda tu yaani kuishi kwa kujua afya yako ujanani raha kweli..ndo maana naringia papuchi yangu kwa raha zangu siku hizi...Mi naenda na baby wangu pia ndio namsubiri twende Amref,,,,
It's foolish to fear what you can not avoid..
So no way out madam test lazima...
Uyachukue yangu baada ya kupewa ya kwako kwanza..
Sio unanisindikiza unaishia nje..
kupima nini?
Mentor Mkata kiu anajiunga na wewe.. So tunaanzia wapi AMREF au ANGAZA...
Ngoja nimuite na bi mdogo lara 1 nae aungane na sisi
mi mara ya mwisho nilienda kupima na beby wangu pale amref yaani majibu ni hapo hapo babu....
hapo Amref ni wapi Smile? na me nataka kupima serious
Kwa kweli hofu niliyoipata wakati naenda kupima Ukimwi miaka 5 iliyopita ni zaidi ya ile niliyoipata utotoni nikiwa na Aka kama 6 hivi nilipopata taarifa kwamba nitahitajika kwenda kukutana na mkasi kwa ajili ya kutoa ngozi kwenye Mtwangio wangu...Ilikua ni kwa Kairuki na ndio kwanza nilikua nimepata ajira yangu ya kwanza hapa town HR wa hiyo Company (ni ya kigeni) akasema anahitaji FULL MEDICAL CHECK-UP REPORT kufika hospitali nikapima kila kitu ila Ngoma nikaacha ...nikarudi faster kwa HR nikamkabidhi na kwa vile muda ulikuwa umekwenda ikabidi nisepe Maghetoni kupumzika.Kesho asubuhi HR huyo akasema kuna kitu cha muhimu kuliko vyote nimesahau hehehe Kupima NGOMA..nikazuga zuga pale job weeee mwisho nikapiga moyo konde maana hata Comfirmation Letter nilikua sijapatiwa.Ikabidi nirudi kwa Kairuki kufika nikaambiwa vp unahitaji ushauri wa DR kwanza kabla ya vipimo nikajibu hapana Basi wakanipima nikawa nasubiria jibu kwenye benchi....Mara yule jamaa wa Maabara huyo na vikaratasi anasoma majina akaita Rural Swagga....x9 hivi mimi kimyaaa ...nikanyanyuka nikaingia Bar flani hivi ipo nyuma ya Kairuki Buddha Blue nikapata kinywaji kuweka Ubongo sawa kumbe ndio kwanza nazidisha feelings .....nikakumbuka Game zote nlizocheza kuanzia O level mpaka University....Ila pombe noma nikajisemea potelea mbali watu wangapi nawajua wana Mdudu na wanakula Gudtyms to the fulest.:clap2:Basi nikarudi moja kwa moja mpaka Kairuki nikaulizia majibu yangu...Jamaa akauliza tena vp unahitaji kumuona DR kabla ya kupata majibu nikasema hapana Basi jamaa akafunguka akanipa hongera kwamba niko safi kabisa...Nakumbuka nilikua sijawahi panda Teksi kwa muda mrefu ila that day nilipanda Tax mpaka job nikampatia HR majibu yake....From that day nimepunguza kama si kuacha kabisa Ngono zembe.Thanks bro...waite na Mrembo by Nature, mimisa, christine ibrahim, sakapal, Kaunga, mzabzab, Mtambuzi, Asprin, dr. watu8, Elli, Rural Swagga ...et al..