Mwiba1
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 933
- 2,044
- Thread starter
- #61
Wewr
Wewe unachuki binafsi stop talSeems uko na chuki kali zidi ya waliosoma ndio maana kwenye kila sentensi unaandika neno "Msomi" ndio maana nikatumia Brutal force zidi ya chuki yako.
Kuniita mimi Nina chuki na darsa la saba ni ujinga baada kufokea ujinga wako ndio unanirudishia kwangu be humble usioende kudharau kundi la watu mpaka mkeo muda wote msomi msomi yeye alishawai jiita msomi kwanini usimu-adrress Kama mkeo tu msomi msomi what essence.
Wasomi kutokua na pesa maendelea non of their business hakuna mahara waaliosoma wamewahi kujiita wasomi na kujenga matabaka watu Kama ninyi wa hovyo muache uyo mwanamke oa asiesoma kwani ujawaona msomi msomi kwanini na wewe hukusoma
Uvivu ni haramuSasa kama hutaki msaada wake kwanini unalala mika mvivu,