Kwanini utembelee Tanga?

Funa the Great

Senior Member
Aug 1, 2022
160
271
Unapopanga mipango yako ya safari basi mkoa wa Tanga usiache kuuweka kwenye orodha yako. Mkoa wa Tanga umejaaliwa kuwa na mandhari mazuri na yenye kuvutia watembezi wengi wanaotembelea eneo hilo. Kuna vivutio mbalimbali vya utalii vyenye kukufanya usijutie maamuzi yako ya kuvitembelea vivutio hivyo.

1. Hifadhi ya taifa SAADAN.
Hii ni hifadhi ya Taifa ambayo ina sifa za kipekee. Ni hifadhi inayotambulika kwa kuwa na mandhari ya majini na nchi kavu (Hifadhi iliyoungana na Bahari). Shughuli unazoweza kuzifanya, kuona wanyama, Kuogelea, Kupanda boat, camping, uvuvi na shughuli nyinginezo.

IMG_20230721_104224.jpg

2. Msitu wa Magoroto (Magoroto forest).
Huu ni msitu unaopatikana mkoani Tanga. Ni miongoni mwa msitu uliobarikiwa kuwa na mandhari adhimu ya kuvutia kiasi kwamba wageni wengi hupendelea zaidi kutembelea eneo hilo. Huko utakutana na maporomoko ya maji, eneo lililozungukwa na maji na kuunda bwawa ambalo ni kivutio kwa watalii wengi sana. Shughuli unazoweza kuzifanya, Kuogelea, kupanda mlima, camping, uvuvi, kupanda boat, utalii wa kuendesha baiskeli/Pikipiki zenye miguu minne n.k

IMG_20231204_164524.png

3. Mto Pangani na Wami
Hii ni mito mikubwa inayopatikana Tanga inayomwaga maji yake ndani ya Bahari ya hindi.

4. Mapango ya Amboni (Amboni caves).
Mapango haya ni makubwa yenye uwazi mkubwa ndani yake unayoweza ukaingia ndani yake na kushuhudia mambo mbalimbali ikiwemo michoro ya kale iliyochorwa pembezoni mwa kuta za mapango hayo.

5. Milima ya Usambara
Hii ni miongoni mwa milima tofali inayopatikana ukanda wa Afrika mashariki hususani mkoa wa Tanga. Ni milima inayovutia wageni wengi kutokana na kuwa na mandhari mazuri yenye kuvutia. Ina eneo maalumu kwa ajili ya kutazama maeneo jirani (view point).

Unaweza ongeza na mengine unayoyafahamu.

Kwa huduma za Safari za kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania Wasiliana nami +255622174613.

Safari za Kiofisi, marafiki, familia, shule/vyuo, taasisi/kampuni n.k
 
Attachments

  • InShot_20220117_135651733.jpg
    InShot_20220117_135651733.jpg
    187.1 KB · Views: 8
  • IMG_20231204_164757.png
    IMG_20231204_164757.png
    451.7 KB · Views: 8
Mie mambo yangu ni mapango na maji course huwa lazima nitapata ujuzi tu humo ndani mkiniache alone.
Hiyo amboni kutoka mjini umbali gani na Nini kinatakiwa ili nifike hapo
Je nkitaka kubaki ndani for 3days(ibada/riadha) naruhusiwa?
 
Unapopanga mipango yako ya safari basi mkoa wa Tanga usiache kuuweka kwenye orodha yako. Mkoa wa Tanga umejaaliwa kuwa na mandhari mazuri na yenye kuvutia watembezi wengi wanaotembelea eneo ilo. Kuna vivutio mbalimbali vya utalii vyenye kukufanya usijutie maamuzi yako ya kuvitembelea vivutio ivyo.

1. Hifadhi ya taifa SAADAN.
Hii ni hifadhi ya taifa ambayo ina sifa za kipekee. Ni hifadhi inayotambulika kwa kuwa na mandhari ya majini na nchi kavu (Hifadhi iliyoungana na Bahari). Shughuli unazoweza kuzifanya, kuona wanyama, Kuogelea, Kupanda boat, camping, uvuvi na shughuli nyinginezo.
View attachment 2834557

2. Msitu wa Magoroto (Magoroto forest).
Huu ni msitu unaopatikana mkoani Tanga. Ni miongoni mwa msitu uliobarikiwa kuwa na mandhari hadhimu ya kuvutia kiasi kwamba wageni wengi hupendelea zaidi kutembelea eneo ilo. Uko utakutana na maporomoko ya maji, eneo lililozungukwa na maji na kuunda bwawa ambalo ni kivutio kwa watalii wengi sana. Shughuli unazoweza kuzifanya, Kuogelea, kupanda mlima, camping, uvuvi, kupanda boat, utalii wa kuendesha baiskeli/Pikipiki zenye miguu minne n.k
View attachment 2834565

3. Mto Pangani na Wami
Hii ni mito mikubwa inayopatikana Tanga inayomwaga maji yake ndani ya Bahari ya hindi.

4. Mapango ya Amboni (Amboni caves).
Mapango haya ni makubwa yenye uwazi mkubwa ndani yake unayoweza ukaingia ndani yake na kushuhudia mambo mbalimbali ikiwemo michoro ya kale iliyochorwa pembezoni mwa kuta za mapango hayo.

5. Milima ya Usambara
Hii ni miongoni mwa milima tofali inayopatikana ukanda wa Afrika mashariki hususani mkoa wa Tanga. Ni milima inayovutia wageni wengi kutokana na kuwa na mandhari mazuri yenye kuvutia. Ina eneo maalumu kwa ajili ya kutazama maeneo jirani (view point).

Unaweza ongeza na mengine unayoyafahamu.

Kwa huduma za Safari za kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania Wasiliana nami +255622174613.

Safari za Kiofisi, marafiki, familia, shile/vyuo, taasisi/kampuni n.k
Muwe mnaweka ns viwango vya pesa maana wengi wanatishika kwa kufikiri ni ghali. Sana!
 
Mie mambo yangu ni mapango na maji course huwa lazima nitapata ujuzi tu humo ndani mkiniache alone.
Hiyo amboni kutoka mjini umbali gani na Nini kinatakiwa ili nifike hapo
Je nkitaka kubaki ndani for 3days(ibada/riadha) naruhusiwa?
Haizidi dakika 60 kutoka mjini, kwa gari panafikika, kubaki kwa izo siku tatu inawezekana lakini, kuhusu ibada sina hakika nalo sana.
 
Unapopanga mipango yako ya safari basi mkoa wa Tanga usiache kuuweka kwenye orodha yako. Mkoa wa Tanga umejaaliwa kuwa na mandhari mazuri na yenye kuvutia watembezi wengi wanaotembelea eneo ilo. Kuna vivutio mbalimbali vya utalii vyenye kukufanya usijutie maamuzi yako ya kuvitembelea vivutio ivyo.

1. Hifadhi ya taifa SAADAN.
Hii ni hifadhi ya taifa ambayo ina sifa za kipekee. Ni hifadhi inayotambulika kwa kuwa na mandhari ya majini na nchi kavu (Hifadhi iliyoungana na Bahari). Shughuli unazoweza kuzifanya, kuona wanyama, Kuogelea, Kupanda boat, camping, uvuvi na shughuli nyinginezo.
View attachment 2834557

2. Msitu wa Magoroto (Magoroto forest).
Huu ni msitu unaopatikana mkoani Tanga. Ni miongoni mwa msitu uliobarikiwa kuwa na mandhari hadhimu ya kuvutia kiasi kwamba wageni wengi hupendelea zaidi kutembelea eneo ilo. Uko utakutana na maporomoko ya maji, eneo lililozungukwa na maji na kuunda bwawa ambalo ni kivutio kwa watalii wengi sana. Shughuli unazoweza kuzifanya, Kuogelea, kupanda mlima, camping, uvuvi, kupanda boat, utalii wa kuendesha baiskeli/Pikipiki zenye miguu minne n.k
View attachment 2834565

3. Mto Pangani na Wami
Hii ni mito mikubwa inayopatikana Tanga inayomwaga maji yake ndani ya Bahari ya hindi.

4. Mapango ya Amboni (Amboni caves).
Mapango haya ni makubwa yenye uwazi mkubwa ndani yake unayoweza ukaingia ndani yake na kushuhudia mambo mbalimbali ikiwemo michoro ya kale iliyochorwa pembezoni mwa kuta za mapango hayo.

5. Milima ya Usambara
Hii ni miongoni mwa milima tofali inayopatikana ukanda wa Afrika mashariki hususani mkoa wa Tanga. Ni milima inayovutia wageni wengi kutokana na kuwa na mandhari mazuri yenye kuvutia. Ina eneo maalumu kwa ajili ya kutazama maeneo jirani (view point).

Unaweza ongeza na mengine unayoyafahamu.

Kwa huduma za Safari za kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania Wasiliana nami +255622174613.

Safari za Kiofisi, marafiki, familia, shile/vyuo, taasisi/kampuni n.k
sawa shemdoe!!
 
Bila kutaja watoto wazuri wenye kujua kuyanyambua mauno , uzi wako ni batili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom