Nataka kuokoka nifanyeje?

Tatizo dunia ya leo ni vigumu hata kuamini viongozi wa dini,yaani wanatafuna kondoo bila huruma.
Huyu bwana aende kwa Yesu sio kiongozi wa dini,hawa awafanye kama daraja tuu ila msalabani kuna jibu na utatuzi wa shauku yake
 
Mie ntaenda kuokokea mbinguni duniani majaribu kama mchanga
Hapana Usiwe Hivyo Shetani Ana Kila Mbinu Za Kumfanya Mwanadamu Abaki Kuwa Mateka Wake ... Hizo Sababu Ndogo Ndogo Siyo Kigezo Cha Wewe Kuacha Kuokoka ... Mkuu Karibu Katika Ulimwengu Wa Kiroho ...
 
Tatizo dunia ya leo ni vigumu hata kuamini viongozi wa dini,yaani wanatafuna kondoo bila huruma.

wala hilo lisikusumbue, akikuongoza sala ya toba inatosha sana!!, mengine utasoma biblia plus kuomba roho wa Mungu atakua pamoja nawe!!!.....

mhimu ni kumkiri yeye kua ni BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO,,,ukimkiri kwa moyo na kwa kinywa bila shaka utakuongoza ktk njia iliyo salama........
 
Mungu akubariki tafuta watumishi wakuongoze kwenye toba ya kweli,huyo ni Roho wa Mungu anakuita rudi kwa Kristo ndugu huko nje kuna nyoka,nge na mbwa mwitu,hatujui kesho saa ya wokovu ni sasa.

Muongoze hapa hapa sasa ivi
Mpaka akampate mtumishi huko itakuwa too late
 
Hongera kwa uamuzi wako,

Kwanza kabisa, kujijua unahitaji deliverance, ni moja kati ya hagua kubwa muhusika anakua ameifanya.


Look, unahiyaji kuwa delivered, ili hio roho chafu ya uzinzi ikutoje, baada ya hapo ndio unaweza kudumu kwenye neno.


Ni maombi ya ufunhulivu pekee ndii yatakayo weza kukuweka huru

Angalia hii station utajionea mwenyewe

Www.emmanuel.tv

Watu aina mbali mbali wanapokea ufunhulivu wao
 

U need derivarance!

Bila hiyo utarudi nyuma tena!
 
AMINA!
 
...huyo uliyezaa naye kama hutambadili dini kumjua Yesu Kristo basi ujue mzigo wa majini ni wako. Na inawezekana ulishatupiwa majini. Kama unajua ulishawahi kuokoka rudi haraka kwa Yesu, lasivyo mzigo wa majini utakuelemea! Vijana wengi waliooa wanawake wa kiislamu utakuta macho mekundu kwa sababu ya majini wanayotupiwa. Ogopa sana hiyo kitu.
 
Muongoze hapa hapa sasa ivi
Mpaka akampate mtumishi huko itakuwa too late
Sawa sawa na kitabu cha Warumi10:9-10 biblia inasema ukimwamini na kumkimkiri Yesu kwa kinywa utaokoka,hivyo basi fuatia maneno haya kwa sauti au kwa moyo kwa imani sema,Bwana Yesu nipo mbele zako,naomba unisamehe dhambi zangu zote unioshe kwa damu yako,futa jina langu kwenye kitabu cha hukumu andika jina langu kwenye kitabu cha uzima,kuanzia sasa nakukaribisha moyoni mwangu ili uwe Bwana na mwokozi wa maisha yangu,amen amen,ikiwa umesema sala hii kwa imani basi nakuhakikishia Mungu amekuokoa na dhambi na mauti tangu sasa nenda kwa ujasiri na usitende dhambi tena,tafuta wapendwa wanao amini habari zawokovu wakuimarishe kiroho na uungane nao katika safari hii ya kwenda mbinguni ambayo hata hivyo imekaribia mwisho Yesu yu malangoni!
 
Pole sana! Hao wanawake ndio jaribu lako inakupaswa ulishinde sio likushinde
 
"Distance is not a barrier"

Binafsi hii chanel ilinisaidia sana nilikuwa ktk hali ya kutokujitambua, na nlikuwa siamini issues za maombi, kukata tamaa na nafikiri nilikuwa mzinzi zaidi ya huyu jamaa mtoa mada ila what happened...basi tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…