Hakika nahitaji okovu wa bwana tatzo langu ni kwamba
ninatamaa sana ya watoto wa kike na hili halijifich kusema ninapepo la uasherati sasa mnanisaidiaje ili niweze kuijua injili?
Pia hapo zamani niliwah kuokoka nikaijua injili vilivyo mdogomdogo nikabaki na taamaa za awali. Umri unaenda YESU namtaka lakn nashndwa kukaa muda mrefu ktk neno.
Zaidi nimezaa na mtoto wa kiislamu cjui nifanyeje mie!!
kwanini hapate shida wakati mm mama paroko nipo nitamwombeaUmefanya uamuzi mzuri kama kweli umeamua toka ndani ya moyo wako hongera sana Yesu anakupenda.mtafute mchungaji yeyote wa kanisa la kiroho akuongeze sala ya toba na usirudi tena kutenda dhambi
Unataka wokovu wa bwana wanamna ganiHakika nahitaji wokovu wa bwana tatizo langu ni kwamba ninatamaa sana ya watoto wa kike na hili halijifichi kusema ninapepo la uasherati sasa mnanisaidiaje ili niweze kuijua injili?
Pia hapo zamani niliwahi kuokoka nikaijua injili vilivyo mdogomdogo nikabaki na taamaa za awali. Umri unaenda YESU namtaka lakini nashndwa kukaa muda mrefu katika neno.
Zaidi nimezaa na mtoto wa kiislamu sijui nifanyeje?
Nimeshindwa kujizuia kucheka [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Umelogwa siyo akili yako waambie wazee wako wakupeleke kwenu kijijini ukirudi utakuwa sawa
Binadamu jamani lol 😀😀😀😀😀😀Nenda Kwa Nabii Malisa Pale Kanisa la Ukombozi ... Watu Wa Aina Kama Yako Anawapenda Sana ...
Vipi Unahitaji Upako ... !Binadamu jamani lol 😀😀😀😀😀😀
Mie ntaenda kuokokea mbinguni duniani majaribu kama mchangaVipi Unahitaji Upako ... !
Hapate au apate?kwanini hapate shida wakati mm mama paroko nipo nitamwombea
Tatizo dunia ya leo ni vigumu hata kuamini viongozi wa dini,yaani wanatafuna kondoo bila huruma.kwanini hapate shida wakati mm mama paroko nipo nitamwombea
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kwanini hapate shida wakati mm mama paroko nipo nitamwombea
Roho ya uzinzi ni Roho ya wakati kwakuwa wakati umekwisha Shetani yuko kwenye kiwanja chake cha juu katika Roho ya uzinzi. Hivyo toba pekee itaondoa shauku hiyo na kuweka shauku Mambo ya Mungu. Utubu na ubatizwe katika jina la Bwana Yesu Kristo upate ondoleo la Dhambi zako. Kisha utapata Roho mtakatifu kwakua hiyo ni ahadi kwa kila mmoja anayefanya hivyo soma Matendo ya mitume 2:38Hakika nahitaji wokovu wa bwana tatizo langu ni kwamba ninatamaa sana ya watoto wa kike na hili halijifichi kusema ninapepo la uasherati sasa mnanisaidiaje ili niweze kuijua injili?
Pia hapo zamani niliwahi kuokoka nikaijua injili vilivyo mdogomdogo nikabaki na taamaa za awali. Umri unaenda YESU namtaka lakini nashndwa kukaa muda mrefu katika neno.
Zaidi nimezaa na mtoto wa kiislamu sijui nifanyeje?
Acha uongo hakuna Isaya 43:33Isaya 43:33-------