Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 29,980
- 32,289
Last edited by a moderator:
Muulize yuko tayari kugandiana??
Hii mechi inabidi tuichezee sehemu nyingine. pale mwananyamala panajaa maji so kama mvua ikinyesha inaweza tuharibia pambano. hii mechi inabidi ichezewe mtaani. kama vipi tufunge ule mtaa wa makochi pale moroco tuweke magoli ikishindikana tuipeleke pale uwanja wa makuti msasani nyuma ya ubalozi wa marekani. mimi nacheza namba 9. baada ya mpira tunakutana pale chato street ofisi za mtaa wa mikocheni/migombani wanatengeneza mdudu vizuri na masanga yapo. chimbo zuri sana. mia
naomba niwr mleta maji uwanjani na mgawa vipeperushi:smile:
pametulia. tatizo humu jf hakuna wachezaji. tatizo pale trafford wanakua vijana wanafanya mazoezi mda mlefu so yahitaji timing coz wanafanya mazoezi asubuhi na jioni. itabidi mtu wa mipango ili tusibugudhiwe coz pale mateja wote wa msasani hadi oysterbay wanakutania pale. but sisi wenyewe wababe. miaWewe jamaa utakuwa jirani yangu, unaonaje game ikachezwa pale Old Trafford adjacent na Ubalozi wa Marekani, afu tukitoka hapo straight kwa rasta kupata mdudu ft. vinywaji.
mphamvu bana why mechi isichezwe jamani))))Cute please, tell me umeachana na Saint Ivuga, la sivyo hii mechi haichezeki...
naomba niwr mleta maji uwanjani na mgawa vipeperushi:smile:
Mimi na wewe H.E. Founder tena?
Kama bia na nyama ya nguruwe, count it in mkaka, jezi no 6 mgongoni.
nipo jamani asante kunimiss jamani hope uko fine