Apatae mke apata kitu chema na kibari machoni mwa Bwana.ckiliza mkuu kuanzia sasa kila unapotaka kulala na uamkapo asubuhi sali kwa dini yako mbali na mengine akupatie mke mwema,kwani ni mpango wake iwe hivyo.pamoja na hayo USITANGULIZE MAPENZI KABLA YA TARATIBU ZA MAISHA ambazo kila mtu ana za kwake.nitakupatia mwongozo A-isimame badala ya ability-thinkink capacity-acceptence kwao na kwenu.B-body structure,tambua mwanamke hubadirika kiumbo kutokana namajukumu yao ikiwamo uzazi.C-character-kama wewe ni mkimya alafu ukapata mcheshi utaboreka na kinyume chake pia.D-dizizi.kwa msisitizo,kunamagonjwa ya kurithi kama sekoseli,hali ya ualibino na mengine unayoyafahamu.E-education background.c kweli una jiwe la chuo chichote ukaoe la tano au la saba.au wewe ni form four mkeo ana masters hapo lazima uwe mwelewa kwelikweli la sivyo kuna kuburuzana na Mungu apite kati.F-family background.wachiyo,wachawi,wanakaa kwenye ndoa,utakuta mama hajaolewa mama mdogo nje,sgangazi mtu walewale,unafikiri mkitifuana watamshauri nini-ACHANA NAE ASIKUTISHE CC MBONA TUNAISHI.na mwisho G-inasimama kwa GOD huyu ndo kila kitu ukimwomba kwa dhati atakupatia,stoo yake ina watu wengi ispokuwa cc ndo tunakosea kumpangia nani awe mkeo au mumeo.TAMBUA KUWA C KILA MWANAUME ANAFAA KUWA MUME WA MTU NA C KILA MWANAMKE ANAFAA KUWA MKE WA MTU.akili kumkichwa.ukitanguliza mapenzi cku ukipata kibovu huwezi ku-let it go coz unampenda na ndo utakuwa msalaba wako.ukikosea kuoa tu umekosea maisha kwa sehemu kubwa.IMEANDIKWA WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.USIOE KWA WASIFU WA NJE OA KWA MWONGIZO WA MUNGU KWA WASIFU WA NDANI.fanya utafiti wengi wa walioolewa ni wakaida tu.mengine tumia akili.