Nataka kuoa mwanamke wa kiarabu

Hakuna binadamu asiye na kasoro unaweza ukatafuta ao unaowaita waarabu ndio ukajuta, ukakuta kheri ya sisi wa ngozi nyeusi.

Chunguza kwanza na sio upande wa kucheat pekee na mengine pia angalia.
 
Hakuna binadamu asiye na kasoro unaweza ukatafuta ao unaowaita waarabu ndio ukajuta, ukakuta kheri ya sisi wa ngozi nyeusi.

Chunguza kwanza na sio upande wa kucheat pekee na mengine pia angalia.
nashkuru kwa ushauri,ila wadada wa kiarabu wazuri sana hata kwa kuwaangalia..hata kama nikikaa nae wiki nzima bila kumgusa moyo wangu utaridhika.
 
Tabia za uswazi zipo dunia nzima. Angalia tamthilia za kifilipino na zingine za kilatini uone maisha yalivyo. Waarabu, waswahili, wazungu na wahindi au yeyote yule wana tabia sawa.
 
nashkuru kwa ushauri,ila wadada wa kiarabu wazuri sana hata kwa kuwaangalia..hata kama nikikaa nae wiki nzima bila kumgusa moyo wangu utaridhika.
Huna nia tu kwani hata weusi wapo wazuri haswa na wenye tabia kushinda hizo za hao waarabu.

Ila ndio hivyo moyo wako umechagua na sio kazi rahisi kuubadilisha.
 
Wewe ni wa dini ipi?

Ulijuaje kuwa ndoa za waarabu zinadumu kuliko za waswahili? Kwa utafiti upi?

Hao waarabu wa zanzibar ndio wapi?
 
Huna nia tu kwani hata weusi wapo wazuri haswa na wenye tabia kushinda hizo za hao waarabu.

Ila ndio hivyo moyo wako umechagua na sio kazi rahisi kuubadilisha.
dada angu nakwambia hivyo sio kwamba sijawahi kuwa na mwanamke mweusi...Hapana!!! ila alochonifanyia nmeona bora kuchukua wanawake wa kiaraba maana cheat kwao ni % ndogo sana.
 
dada angu nakwambia hivyo sio kwamba sijawahi kuwa na mwanamke mweusi...Hapana!!! ila alochonifanyia nmeona bora kuchukua wanawake wa kiaraba maana cheat kwao ni % ndogo sana.
Kajaribu mdogo wangu ila usiache kutuletea mrejesho
 
Na vipi mkuu yale wasemayo watu kuwa hao waarabu wanapenda sana tigo na ni bora mwanamke wao atoe uani kwa mwanaume kuliko atoe bikira yake ya uke.

Yana ukweli hayo chief?
 
mtu unamfanyia kila kitu,unampenda,unamjali,unampa matunzo,lakini sababu anaona uko busy na kazi basi anaona bora akusaliti akiona na mtoto wa kiarabu lazima ajitundike....salam zimfikie....
 
Una umri gani mzee?
 
Na vipi mkuu yale wasemayo watu kuwa hao waarabu wanapenda sana tigo na ni bora mwanamke wao atoe uani kwa mwanaume kuliko atoe bikira yake ya uke.

Yana ukweli hayo chief?
Sijafanya utafiti mkuu kwa hayo ila mm niliwah kua na girl wa asil hio kwa kwel ni wagumu walikua enz hizo kutoa bikra zao yaani atakupa kila sehem atakupig koni utakavy ila kuikata ni mbinde ila hajawai ata sku moja ku nipa opinion ya tg kiukwel hio tabia ni mawazo tu ya watu hata huku main land mbona waschana kibao wanaliwa tg n sio waarab kiufup ni kuiga na tamaa tu za kimwil
 
mtu unamfanyia kila kitu,unampenda,unamjali,unampa matunzo,lakini sababu anaona uko busy na kazi basi anaona bora akusaliti mamammaeee akiona na mtoto wa kiarabu lazima ajitundike....salam zimfikie....
Hawa viumbe huwa hawaridhiki mkuu. Na inavyoonekana mgegedo ulikuwa huutoi vizuri sababu ya ubusy. Jaribu kutulia kwanza kabla ya kuamua huenda umefocus kwenye kumkomoa mwenzako kumbe sababu ulikuwa ni wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…