Nataka kuoa mrembo wa KIMERU

Status
Not open for further replies.
Andaa na sanda yako kabisa...chezea wameru wewe...kama hujapigwa mapanga utakula ile sumu ya mamba unakunywa leo unakufa baada ya miezi sita....tuulize kaka yetu alifanywaje tukupe story za hao wasing'isi
 
To be honest wameru ni wazuri sana kwa kila kitu "UKIWA HUJAMWEKA NDANI" once ukioa tu imekula kwako...hawa wanaoana wao kwa wao wanawezana...lasivyo tembea na sanda mfukoni
 
Utajijua nyambaf

nidhambi kama zingine kutukanana jamani,atamtu akiandika pumba jua kashikwa na shetan muelimishe kistaarab ukimtukana nyote mnakosea na mnatenda dhambi nyote.tubadilike unless watu watakimbia jf
 
Sijazungumzia tabia, nataka kujua taratibu zao zikoje kwenda kuonana na wazee na wanatakaga nn??

Sasa si umuulize huyo mkeo mtarajiwa ili akawaulize wazee then akupe majibu?humu wako watu wengi watakuchanganya tu na wengine kukupa maudhi.Kiutaratibu Demu wako ndo atakwambia nini kinahitajika na kwa kiasi gani..but cha kwanza ni mapipa yasiyo pungua 7 ya mbege,mbuzi (atakwambia idadi) n.k
 
Mkuu, hawakeketwi hawa?
 
Mtoa majibu naomba ufafanuzi siku ya kwanza nawza kwnda na mshikaji wngu kujitambulisha tu? au lazima nitafte mzee niende naye? mana hapa naongea nipo njiani ndo naenda
 
mimi nimeolewa na mmeru, wameru wanahasira sana, na msimamo pia. kwa upande wa wanawake ni wajeuri sana
Hahaa, karibu shemeji! Wanatahiriwa wakiangalia bila ganzi ndo maana wana hasiraa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…