Nataka kuoa mrembo wa KIMERU

Status
Not open for further replies.
Wameru malaya coz me kuna shemeji yangu alianza kunishobokea hatimaye akanipa tunda,me bila hiyana nikamnawa ili niweke heshima..niliipiga haswa mpaka akiniona anatamani aniamkie...Ha ha ha ha,chezea mjalabati wewe

Mentally unsound!
 
Kukee nrwaa wa kwii mbee?? kwammuiya kiisha kutuuu.
 
Karibu Meru mkuu, moja muhimu uwe ni mtu unajayejua kufanya kazi; zamani kijana kabla hajapewa binti ilibidi afanye kwanza kazi za kulima ukweni kwa muda usiopungua mwaka mmoja. Perfomance yako shambani ndo ilikuwa kipimo kama upewe binti au la! Mahari sio ishu sana ilia kuaminika ni muhimu zaidi; dada zetu wapole na wazuri wa kulea familia kwani ni wachapakazi wazuri pia. Epuka kuwa sharobaro au kijana wa kinengereko watakufukuza! Kila la kheri, uje unywe kisusi, loshoro na kitalolo.
 
Ukimaliza kuoa anza na kutayarisha jeneza maana ipo siku migomba itaisha wakukate mbaya na ole wako uende na gari kwao halafu upaki pale tengeru imekula kwako....kuwa makini na vyakula unavyokula maana huchelewi kula unga wa kinyonga...hizo ni tahadhari tu na ambazo ziliishawapata watu walioenda kuwowa huko
 
ishu ya kukeketwa vip_maana watu wengine wanataka undistructred organ ili wapate quality utility.toeni info za kutosha asije mtu anafika ndani,anakuta zile feature ambazo amesoma ktk bailoji baadhi zinamiss.
 
paa kya deede kommaa deny wawa!kwiifoare lo mbee!
 
mimi nimeolewa na mmeru, wameru wanahasira sana, na msimamo pia. kwa upande wa wanawake ni wajeuri sana

mmeru na mmachame ni baba mmoja mama mmoja. hivyo msishangae ni kawaida yao.hata lugha ni.moja ina slight diffrnce.
 
Wadau nina mpenzi wangu mmeru nataka nimuoe, mwenye idea na requirements za kabila hili anijuze.

japo wanatofautiana kidogo kutoka ukoo mmoja hadi mwingine mfano,ukoo wa akyoo kuna tofauti na ukoo wa palanjo,lakin kwa ufupi unatanguliza wazee na kret 2 za soda,then utaenda na wewe kujitambulisha na kreti nne,hapo watakuambia na vingine wanavyohitaji,lakini mwisho wa siku utapeleka kreti 22 za soda,ng'ombe wawili na kondoo wawili,bahati itakuwa yako kama wakikubali ulipe inter of money itasaidia kidogo
 
ndo hivyo na hizo hazipungui hata moja,wanadai za kukutambulisha kwa ukoo kwa hiyo pia unatakiwa pia wewe ndo ukawapikie ukoo huko meru,kaz kwelkwel
 
aisee kwansikurumbusa kwaasha denyi...mpaka siikyi...eka mbeee
 
Wadau nina mpenzi wangu mmeru nataka nimuoe, mwenye idea na requirements za kabila hili anijuze.
hajakeketwa huyo kweli, unaoa waliokeketwa mzee. au?
 
tafuta mshenga tu akapeleleze wakwe zako wanahitaji nini,cku hizi mambo yanabadilika sn, vitu vya kikabila sio ishu sn!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…