Nataka kuoa lakini nalala chini...


nakubaliana nawe
 

Hee!MENTOR, bac bana nimeahirisha,kumbe u hv lots of them!! Kiding!

Ila km wakija hawajishughulishi na chochote,hata ku-pretend!!? hapo hamna ki2,wanapita 2,they a nt serious
 
weeee.....usije ukajuta, fanya michakato mpaka upate chanzo cha mapato cha kuaminika, hujakutana na adha za maisha wewe? kumbuka utazaa atakuja mama mkwe kumkanda maji mkeo sijui na yeye atalala ktk godoro hilo? kumbuka malezi ya watoto......jipange, kama bado jipange tena sana, halafu hii inakuhusu kinomanoma mtu mzima!
 
Mkuu kuoa sio mpango mpango. jipange kiakili zaidi. kama anakupenda mtasaidiana ili mtoke kwa pamoja ndo muoane. ukiwa shimoni mtu anaye kupenda atakurushia kamba kukutoa sio kukufuata shimoni ili mteseke wote. <(") mia
 
hahahah, usianze kumchunguza; kuwa na open mind tu. Muone halafu usikilizie moyo wako! LOL

Dah! KAUNGA,huu ushauri!!!...ila MENTOR, ucjali mi ushaniona,hyo avatar inanihusu don worry!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…