Nataka kuoa kati ya hawa wadada wawili

Nataka kuoa kati ya hawa wadada wawili

Unayemtaka hakutaki,anayekutaka humtaki!

Ni rahisi zaidi kuishi na anayekupenda japo wewe humpendi kuliko kuishi na unayempenda wakati yeye hakupendi! Inaonekana huyo boss anakupenda hivyo muoe.
 
Umri sio shida bwana siku hizi watu wanaoana age mate sana. Muoe huyo anayekupenda.
Uyo binti atakusumbua sana baadae. Lea mtoto wako basi
 
Umeshaleta kiumbe duniani unataka kukitelekeza? Ulishajua tabia ya baby mother na ukamtegeshea mimba inamaana ulikuwa tayari kushi nae katika hali yeyote ile. Mwisho wa siku mnawasema single mothers.

Wewe mwenyewe unasema alikuwa anachelewa kurudi nyumbani na akirudi anauliza kama umepika chakula, nani anavaa suriali humo ndani?
 
Umeshaleta kiumbe duniani unataka kukitelekeza? Ulishajua tabia ya baba mother na ukamtegeshea mimba inamaana ulikuwa tayari kushi nae katika hali yeyote ile. Mwisho wa siku mnawasema single mothers.

Wewe mwenyewe unasema alikuwa anachelewa kurudi nyumbani na akirudi anauliza kama umepika chakula, nani anavaa suriali humo ndani?
Hahaha huyo mdada ana kiburi na ujeuri fulani hivi. Napenda challenging women but not to that extent (in Magu's voice)

Sukari Yenu
 
Back
Top Bottom