Nataka kuoa ila nimemzidi umri, je ni sawa?

Nataka kuoa ila nimemzidi umri, je ni sawa?

Habarini wadau...ninataka kuoa binti niliyempita miaka 15...kuna ubaya wowote?mi nina miaka 38 na yeye 23.Asanteni
Kuna waziri kamuao viki kamata juzi kati....
Kuna mtu anaitwa mengi, kamuoa kylin
Hao wooote pesa ipo!!!
Sasa wewe ndugu yetu vipi????
By the way...kila la kheri mkuu!!
 
Sioni tatizo hapo la wewe kutokumuoa huyo.
 
Back
Top Bottom