Nataka kuoa ila nimemzidi umri, je ni sawa?

Nataka kuoa ila nimemzidi umri, je ni sawa?

Habarini wadau...ninataka kuoa binti niliyempita miaka 15...kuna ubaya wowote?mi nina miaka 38 na yeye 23.Asanteni
Miaka siyo shida.....
Uko na nyumba? Not Rental property.
Uko na shamba? (if unemployed)
Uko suplus income? (for the case mambo yako yameenda kombo)
Uko na home accessories (I mean domestic necessities vyombo na zingine mob).
Maana wanawake hatupendi mambo za mezesha, hakikisha umejisort vipoa.
Then good luck to ur marriage. Hola then.
 
Kama unampenda na yeye anakupenda,Oa tu hakuna shida.Hutakuwa wa kwanza.Najua wanandoa wengi waliopishana umri mkubwa.Rais mstaafu na mkewe kwa mfano wamepishana miaka 14,na bado wako na ndoa yao.
 
Ha ha ha ha Oa bwana, ila ujue baada ya miaka 15 mingine utashindwa kumtuliza kimwili lol...umri wako utakuwa ushakwenda na yeye damu ndo inachemka lol, umri sio issue muoe bwana. ila jitahidi uwe mtu wa mazoezi na kula health food.
 
oa tu mkuu, si amezidi miaka 14 na sio mwanufunzi?
 
Miaka 23 umri wa club na kila aina ya starehe. Wakati wewe ukifikiria nyumba, gari na mengine ya kimaendeleo mwenzio anawaza kutumia hela na show off.

Lakini pia mwamuzi wa Mwisho ni wewe. Maana tafsiri ya ndoa inatoka kwenye kichwa chako. Ndoa ni wewe. Wewe ndiye una uwezo wa kuifanya iwe ya furaha au Jehanam
 
Unataka kuoa ili iweje?
mapenzi hayana umri wala
kama mnapendana wewe muoe mkaishi wote
 
Back
Top Bottom