Masai Mara
Senior Member
- Dec 25, 2014
- 134
- 54
Habari za masiku
Ni mara ya tatu narudi kwenye jukwaa kwa sababu ile ile.Nipo tayari na nimejiandaa kuwa mume bora.Nina imani humu nitampata mke bora wa maisha yangu.
Aliyetayari kuwa mke bora asisite kunipm
Asanteni
Mbona tangazo linaonyesha kama bado kichwa chako hakijatulia..
Mbona tangazo linaonyesha kama bado kichwa chako hakijatulia..
Nzuri tu sijui wewe mpendwa...wajionaje na hali...???habar ya asubuh
Haya mkuu...MUNGU akuangazie katika safari yako ya kumtafuta mwenza na akujaze umakini katika hilo........wote tuseme AMENMkuu mi nipo sawa sana.Hili tangazo ni kuhuisha tangazo la nyuma, siwezi kukopi kila kitu cha tangazo lililopita.Utakuwa umenielewa
Mbona unaelekea unaharaka sana? ebu jitambulishe vizuri na utueleze nini unataka ukisema mke inamaa huna Choice?
awe mke tuuu?
kwahiyo mwenye kukuhitaji apekure uzi wako wa nyuma aone vigezo eeh?Kama nilivyomjibu jamaa hapo juu.Hili tangazo ni huisho ya tangazo la mwanzo ambalo lina vigezo vyote.Nadhani utakuwa umenielewa
kwahiyo mwenye kukuhitaji apekure uzi wako wa nyuma aone vigezo eeh?
Nzuri tu sijui wewe mpendwa...wajionaje na hali...???
Nitakitoa tu mpendwa usiwe na shaka,...salama tu hiv najiuliza hiko kidole hapo hakitoki???