nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,054
Rijali ananyoa nyusi wapi na wapi? Na Dada zako watanyoa nn? Any way hebu nyoa halafu utupie kapicha hapa tuone ulivyopendeza!Hawawezi kunifwata sababu mimi ni rijali
Mi mwanaume
He he he kazi kweli kweliHabari!!
Mimi ni mwanaume rijali lakini kisema ukweli mimi sipendi nyusi na nafikiria kwenda kuzinyoa.
Najua inaweza leta tafsiri mbaya lakini kwa kweli mimi nachukia nyusi ni bora tu nizitoe.