Nataka kununua smartphone. Naomba msaada.

Nataka kununua smartphone. Naomba msaada.

MUTAKANGWA

Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
37
Reaction score
2
Natumaini ni wazima wa afya.
Ninataka kununua smartphone inayotumia OS ya android. Naomba mnijuze ni ipi inapiga kazi vizuri ambayo nitapata good browsing experience. My budget ni 200,000 to 250,000/=
 
Natumaini ni wazima wa afya.
Ninataka kununua smartphone inayotumia OS ya android. Naomba mnijuze ni ipi inapiga kazi vizuri ambayo nitapata good browsing experience. My budget ni 200,000 to 250,000/=

mkuu unapendelea brand gani? Tembelea
www.mnada.co.tz. au
www.godfreyelectronics.com
 
Chief mkwawa na wadau wengine ambao mna uzoefu na smartphones, dondosha mawazo yenu hapa pliz
 
Back
Top Bottom