Ninazo IPhone phones mpya
4s gb16 Tsh 250,000
5c gb16 Tsh 300,000
5s gb 32 Tsh 500,000
6 Gb 16 Tsh 700,000
6+ gb 16 Tsh 900,000
hiyo bei labda iphone fake
Ninazo IPhone phones mpya
4s gb16 Tsh 250,000
5c gb16 Tsh 300,000
5s gb 32 Tsh 500,000
6 Gb 16 Tsh 700,000
6+ gb 16 Tsh 900,000
Ninazo IPhone phones mpya
4s gb16 Tsh 250,000
5c gb16 Tsh 300,000
5s gb 32 Tsh 500,000
6 Gb 16 Tsh 700,000
6+ gb 16 Tsh 900,000
Kama Fedha Ipo Nunua Tu iPhone 5 plus kwa bei ya laki nane Mimi Natumia iPhone 6c pia nina macbook,iPod,iPad wako vizuri sana sinaga cha kuongea..
Mkuu wewe hatari mno, unatumia mpaka simu ambazo bado hazijatengenezwa..... Noma sana
Kama Fedha Ipo Nunua Tu iPhone 5 plus kwa bei ya laki nane Mimi Natumia iPhone 6c pia nina macbook,iPod,iPad wako vizuri sana sinaga cha kuongea..
Watumiaja wengi wa simu wamenunua simu wanazotumia na wanazitumia kwa kupiga picha, whatsapp, facebook, insta pekee. Wengi hawatumii email au bidhaa nyingine zaidi ya hapo na wengine wao ni games pekee.
Mimi nimebakia na Nokia Asha na Torch na BB
Mawazo ya kimasikini sana haya
Lol promota katika ubora wake ww kama ckosei una Huawei ya promosheni tena hauja unlockKama Fedha Ipo Nunua Tu iPhone 5 plus kwa bei ya laki nane Mimi Natumia iPhone 6c pia nina macbook,iPod,iPad wako vizuri sana sinaga cha kuongea..
Habari?. Je, hii ni aina nzur ya smartphone? Je zipo apple za aina tofauti? Nishauri ni ipi nzuri,na bei nafuu.
Nimetumia sim zote iphone 6 plus and now am using samsung s6..... previous wewk nilikua natumia s5.... jaman samsung n amazing phone... kwanza quality ya pcha, network speed ipo poa sana.. pia hawana restriction katika application in playstore..... more over accesory zake unawezareplac kwa bei chip....
Mkuu wewe hatari mno, unatumia mpaka simu ambazo bado hazijatengenezwa..... Noma sana
Mkuu wewe hatari mno, unatumia mpaka simu ambazo bado hazijatengenezwa..... Noma sana 🙌🏽
Umesema kweli kuna watu humu jf hufikiri eti kutumia kitu cha bei juu ndy sifa. iphone inafaa lkn haiwezi kushindanishwa na samsung katika matumizi ya kawaida kama simu. Angalia uwezo na jinsi ya matumizi ktk mitandao sifa ni baba wa ujinga