msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,840
- 6,141
Haina lolote Samsung
Net chenga___,,, picha zingine chengaaa,,,,,,,,Hao wanajua gadgets tuuuu
Mkuu umeongea pumba za hali juu..
Kuna wakati muwe mnaona aibu hata kama hatuwaoni hapa..
Haina lolote Samsung
Net chenga___,,, picha zingine chengaaa,,,,,,,,Hao wanajua gadgets tuuuu
internet ni wewe na mtandao wako na eneo ulipo ila usisingizie simu;: ushambaSamsung hakuna lolote baba!! Yaan ni utumbo tuu kitu likubwaaaaa lakini network chengaaa, internet majangaaa,,,,,
Watu wengi wanalalama na lisamaung baba
Hehe mnalalamikia samsung wakati mnauziwa ma clone
yeye aliongelea tu samsung in general. lakini hata kwa flagship nadhani samsung wanauza zaidi...sina data zenye uhakika lakini. mimi nilishazowea iphone siwezi samsung au androd yoyote
Nimetumia sim zote iphone 6 plus and now am using samsung s6..... previous wewk nilikua natumia s5.... jaman samsung n amazing phone... kwanza quality ya pcha, network speed ipo poa sana.. pia hawana restriction katika application in playstore..... more over accesory zake unawezareplac kwa bei chip....
Habari?. Je, hii ni aina nzur ya smartphone? Je zipo apple za aina tofauti? Nishauri ni ipi nzuri,na bei nafuu.
nimetumia sim zote iphone 6 plus and now am using samsung s6..... Previous wewk nilikua natumia s5.... Jaman samsung n amazing phone... Kwanza quality ya pcha, network speed ipo poa sana.. Pia hawana restriction katika application in playstore..... More over accesory zake unawezareplac kwa bei chip....
Ninazo IPhone phones mpya
4s gb16 Tsh 250,000
5c gb16 Tsh 300,000
5s gb 32 Tsh 500,000
6 Gb 16 Tsh 700,000
6+ gb 16 Tsh 900,000
Ninazo IPhone phones mpya
4s gb16 Tsh 250,000
5c gb16 Tsh 300,000
5s gb 32 Tsh 500,000
6 Gb 16 Tsh 700,000
6+ gb 16 Tsh 900,000
Ninazo IPhone phones mpya
4s gb16 Tsh 250,000
5c gb16 Tsh 300,000
5s gb 32 Tsh 500,000
6 Gb 16 Tsh 700,000
6+ gb 16 Tsh 900,000
Duh aisee ni fake ama original?
Nimetumia sim zote iphone 6 plus and now am using samsung s6..... previous wewk nilikua natumia s5.... jaman samsung n amazing phone... kwanza quality ya pcha, network speed ipo poa sana.. pia hawana restriction katika application in playstore..... more over accesory zake unawezareplac kwa bei chip....
Ninazo IPhone phones mpya
4s gb16 Tsh 250,000
5c gb16 Tsh 300,000
5s gb 32 Tsh 500,000
6 Gb 16 Tsh 700,000
6+ gb 16 Tsh 900,000
Uo ni uongoo ,100%