Aquinas
Member
- Mar 30, 2015
- 51
- 27
Umesema kweli kuna watu humu jf hufikiri eti kutumia kitu cha bei juu ndy sifa. iphone inafaa lkn haiwezi kushindanishwa na samsung katika matumizi ya kawaida kama simu. Angalia uwezo na jinsi ya matumizi ktk mitandao sifa ni baba wa ujinga
Samsung ni user friend n uzuri wake u can download any program kwenye play store yake na ikakubali tofauti na Iphone kuna programme zake inabidi ununue