Jamani nataka kununua Xtrail, lakini watu wananiambia eti ni mabovu, nimemuuliza aliye niambia kuwa mabovu kuwa yana ubovu gani anasema hajui ubovu wake, ila ameambiwa kuwa sio imara.
Naomba wenye experience na magari haya mnijuze kama ni kweli si imara au ndio naonewa wivu
Yako poa tu,I owned one for 2 years now..Nissan haitoi madudu....ila wese buku 20,000/= per day minimum..mziki mnene baba hapo..kilo 6 kwa mwezi!......wese tu ndio naona issue..ila machine ipo poa sana,speed,confort,ipo kijanjaa!Nunua mzigo huo!