Nataka kununua laptop mpya 500,000

Mbagala Tz

Member
Mar 16, 2017
57
42
Wakuu salaam

Naombeni ushauri nataka nikanunue laptop mpya na nzuri kwa bei 500,000 nipo Dar es salaam

Hebu nipeni ushauri ni wapi naweza pata Laptop original na nzuri na durable kwa bei hyo au ni laptop gan nzuri za kununua kwa bei hyo mimi napenda sana HP au DELL

Mimi nipo dar mbagala
 
Huwezi pata laptop mpya nzuri kwa laki 5, utapata tu Vimeo vya Celeron na Pentium kwa hio Bei. Laptop nzuri za i3 zinaanzia around laki 7 mpaka 8 hivi.
Na je kwa bei hiyo mkuu naweza kupata laptop ya specifications gani ambayo ni mtumba(used) ila iliyo katika good condition yani ni kama new kule kariakoo. Nataka kati ya DELL,HP au Lenovo ...
 
Aondoe tu neno mpya. Lakini anaweza kupata laptop nzuri hata kama sio mpya.

Kwa kuweka bandiko hapa kuna watu wanaweza kuwa na Laptop nzuri tu wakaamua kuuza kwa hiyo bei kwa sababu zao binafsi. Ahsante kwa kumshauri
 
Na je kwa bei hiyo mkuu naweza kupata laptop ya specifications gani ambayo ni mtumba(used) ila iliyo katika good condition yani ni kama new kule kariakoo. Nataka kati ya DELL,HP au Lenovo ...
Mkuu tafuta 6th ama 7th gen Intel processor yoyote Kati ya i3/15/i7

Processor zenyewe Ni i3 6100U, i3 7100u, i5 6200u, i5 7200u, i7 6500u, i7 7500u.

Kwenye ram na HDD kusikusumbue Sana hivyo vitu vinaongezeka, siku hizi Kuna wajanja mjini wanachukua laptop za kizamani zenye thamani ndogo wanaziweka ram 8GB na HDD 1TB na kupiga watu hela ndefu, hivyo epuka kuchagua laptop kwa kuangalia ram na HDD pekee.

Maeneo ya kuzipata used kwa kkoo angalia mtaa wa likoma na Agrey kwenda benki ya mkombozi na kwenda kanisa la KKKT Kuna maduka mengi Sana pale ya Hivi vitu, unaweza ukaanza na Kaale computers ukikosa nenda jengo linaangalizana na benki ya mkombozi floor ya kwanza pia Kuna maduka ya computer.

Na ukitaka zenye values zaidi gen za zamani Kama ya 3 ama ya 4 angalia discountkubwa inaangalizana kituo Cha polisi msimbazi. Wao Ni around laki 3 kwa i5 za zamani.

Kuangalia specs kwenye computer nenda my computer Kisha right click Kisha chagua properties.

Alternative click start halafu andika neno dxdiag.
 
Shukrani sana mkuu nashukuru aisee.
 
Huwezi pata laptop mpya nzuri kwa laki 5, utapata tu Vimeo vya Celeron na Pentium kwa hio Bei. Laptop nzuri za i3 zinaanzia around laki 7 mpaka 8 hivi.
Mkuu nimechukua laptop inaitwa Packard bell (easyNote TS) ina Intel Core i3-2350M vipi hizi zikoje
 
Attachments

  • dxdiag.PNG
    dxdiag.PNG
    11.9 KB · Views: 20
Haina tofauti Sana na hio Hapo juu, yako Ni 3rd gen.
Mkuu nina nina laptop yangu dell inpiron ilikua natumia window 7 professional sasa ilikua inataka ni update nikampa mtu anipigie window akaninipigia window 7 ultimate sasa ikawa imekaa vizuri lakini mouse yake haifanyi kazi yani haipapasiki sasa tatizo itakuwa nini..
 
Unanunua laptop kwa kazi gani,kama ni kwa ajili ya chuo tu inakutosha bei hiyo
 
Mkuu nina nina laptop yangu dell inpiron ilikua natumia window 7 professional sasa ilikua inataka ni update nikampa mtu anipigie window akaninipigia window 7 ultimate sasa ikawa imekaa vizuri lakini mouse yake haifanyi kazi yani haipapasiki sasa tatizo itakuwa nini..
Tumia mouse ya nje then nenda website ya manufacture Kisha jaribu kudownload touchpad drivers.
 
Mtumba? hizo Ni za 2011 za kizamani sana. Zinafanya Mambo ya kawaida bila tabu na suggesting price Ni chini ya laki 3.
Hivi mkuu naweza kupata betri ya hizi laptop kwa sasa . Nipo natumia hii laptop tangu 2013 sasa asahivi naona betri imeshakufa inaniletea notification ya ku replace kila nikichomeka kwenye chaji alafu inapiga X nyekundu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom