Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,262
- 44,391
Epiccomputers wapo city mall, laptop city wapo moroco stand ya mwendokasi ama hata mjini wapo, nyuma ya Jengo la vioo lile liliokaa Tenge, Freedom jmall mjini ama Kkoo uhuru na Congo pia unaweza tumia maduka ya kariakoo uhuru ama mtaa wa likoma.Mkuu naomba unifahamishe duka wanapouza mpya za kuanzia laki 7 kwa hapa Dar
I3 gen za zamani kuanzia ya 5 kushuka ni likely kuzipata chini ya laki 7 ila hazina value sana kwa sasa.
I3 kuanzia gen ya 6 mpaka ya 7 ndio zinapatikana kwa bei hizi kama vile
I3 6006u
I3 6100u
I3 7002u
I3 7100u etc
Hizi ndio unazotakiwa uzitarget
Na kama budget yako inaweza panda zaidi tafuta i3 gen ya 8 mpaka 10 hizi zina nguvu kushinda i7 gen ya 7 kushuka zote, bei zake zinakaribia 1m.