Nataka kununua king'amuzi

Nataka kununua king'amuzi

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,391
Reaction score
8,294
Wadau, kinga'muzi cha Startimes kimenishinda. Nalazimika kutumia antena tatu, ili kupata chanel za kutazama. Kila antena ina chanel zake. Nikitumia antena moja napata baadhi tu. Nimejaribu kufuata maelekezo yao ya kuelekeza antena Makongo juu, lakini haijasadia kitu. Ombi lenu kwenu; nataka kununua king'amuzi kingine kati ya Continental na Digitek. Je, kipi ni bora. Naombeni ushauri utakoanisaidia tafadhali.
 
Hicho hicho startimes,wapigie 0767 700 800 watakuja mafund wao wakufungie bure.
 
Easy tv mkuu kipo bomba sana, channel 33 za ukweli n tsh 9, 000 tu
 
mi nimenunua continental juzi jtatu
kiko poa Sana Picha zzimetulia Sana na inachaneli za kutosha shart antenna uifunge tu juu kwani wanarushia matangazo kisarawe
 
Hicho hicho startimes,wapigie 0767 700 800 watakuja mafund wao wakufungie bure.

Nimefika mpaka ofisini kwao Buguruni, sijapata msaada wowote, zaidi ya kuambiwa nirekebishe antena. Nimechoka
 
Wadau, kinga'muzi cha Startimes kimenishinda. Nalazimika kutumia antena tatu, ili kupata chanel za kutazama. Kila antena ina chanel zake. Nikitumia antena moja napata baadhi tu. Nimejaribu kufuata maelekezo yao ya kuelekeza antena Makongo juu, lakini haijasadia kitu. Ombi lenu kwenu; nataka kununua king'amuzi kingine kati ya Continental na Digitek. Je, kipi ni bora. Naombeni ushauri utakoanisaidia tafadhali.

Ndugu Continental ndiyo habari ya mjini nakitumia nanimekipenda kwa kweli,sina headache ya kulipia labda baada ya mwaka mmoja nakula channel 24 bure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom