Nataka kununua kampuni ya Clearing & Forwarding

NoLimit

Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
11
Reaction score
1
Wadau, ninatafuta kununua kampuni ya clearing and forwarding iliyokamilka. Isiwe na madhambi yeyote, fines, wala kudaiwa kodi na TRA. Iwe imefanyiwa annual filings za BRELA. Any interested party naomba tuwasiliane.
 
Me naomba ajira pindi ukianza kazi nina uzoefu na hayo mambo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wadau, ninatafuta kununua kampuni ya clearing and forwarding iliyokamilka. Isiwe na madhambi yeyote, fines, wala kudaiwa kodi na TRA. Iwe imefanyiwa annual filings za BRELA. Any interested party naomba tuwasiliane.

Mkuu una 70m? Zipo japo si nyingi kwa sasa.
 
Wadau, ninatafuta kununua kampuni ya clearing and forwarding iliyokamilka. Isiwe na madhambi yeyote, fines, wala kudaiwa kodi na TRA. Iwe imefanyiwa annual filings za BRELA. Any interested party naomba tuwasiliane.

nisamehe kwa kwenda nje ya hoja,zoezi lako likifanikiwa tafadhali nipatiwe ajira ktk office yako!
 
Wadau, ninatafuta kununua kampuni ya clearing and forwarding iliyokamilka. Isiwe na madhambi yeyote, fines, wala kudaiwa kodi na TRA. Iwe imefanyiwa annual filings za BRELA. Any interested party naomba tuwasiliane.

Mkuu me naomba ajira tu as a secretary
 
Back
Top Bottom