MKATA KIU thax bro.... Umejuaje naogopa stress best.
Nimekusoma sn hasa hapo kwenye usumbufu wa matengenezo na spare.
Mwenzi wangu anayo, nahitaji yangu mwenyewe kupunguza utegemezi kwake. Kulingana na foleni za hapa dar na tunafanya kazi maeneno tofauti.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nimejifunza mengi hapa.... Ila vipi kuhusu Suzuki Kei? ThanxMkata kiu shikamoo. Umenikumbusha Suzuki Alto niliyokua natumia mda si mrefu. Gari tamu mpaka basi. Kidogo lakini kina nguvu balaa. 660cc mafuta ikiingia petrol station hata kama huweki ikinusa harufu tu inasepa. Average ni kama lita 1 kwa kilomita 16 na AC juu. Yani kwa mizunguko ya hapa hapa mjini imenisaidia sana. Mafuta ya elfu 30 namaliza wiki nzima na misele ya wikiendi juu. Bado nawashauri watanzania wenzangu tubadilishe mitazamo juu ya magari. Wengi wananunua magari kufanya show off wakifika kituo cha mafuta wananuna na kukopa. Balaa. Dar es Salaam kiujasiriamali vitz, suzuki alto, corolla limited bado zinafaa sana. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nimejifunza mengi hapa.... Ila vipi kuhusu Suzuki Kei? Thanx