The-unknown JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 1,707 Reaction score 1,990 Apr 14, 2014 #1 wadau msaada wenu maana mm c mtaalamu saana wa cm,n cm gan naeza nunua kwa bei hiyo au around 600-900 ambayo itanifaa napendelea zaid nokia
wadau msaada wenu maana mm c mtaalamu saana wa cm,n cm gan naeza nunua kwa bei hiyo au around 600-900 ambayo itanifaa napendelea zaid nokia
NAMTUMBA JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 1,939 Reaction score 600 Apr 16, 2014 #2 unamaanisha laki saba. nitafute nikuuzie Samsung gallaxy s4 kwa laki tano tu. Mpyaa.
Baba Kapompo JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 1,344 Reaction score 468 Apr 26, 2014 #3 daah !!! heading imenistua kidogo nikajua unatafuta simuu zifikazo idadi ya mia7 kumbe mia7 ni mihelaaa haya ngoja wauzaji na matapeli waje ili munegotiate mambo yakae sawa
daah !!! heading imenistua kidogo nikajua unatafuta simuu zifikazo idadi ya mia7 kumbe mia7 ni mihelaaa haya ngoja wauzaji na matapeli waje ili munegotiate mambo yakae sawa