nataka kumzawadia mwanamke blackberry

emilwayne

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
265
19
Mwanamke yyte ambae anaweza kutoka out na mm usiku wa leo ntampa zawad ya blackberry torch 9810, email me on emilrama@gmail.com or pin:228CA8B0.
 
uko wapi ? lol....nahisi uko mbali mie niko mkoani,hio zawadi ni kutoka tu au unataka na sex juu??? kuwa muwazi kabisaaa.....lol
 
unataka kumzawadia au unataka kuhonga..weka lugha sawa usione aibu kuhonga,..ndio uanaume huo..haya madada kazi kwenu ila nina wasiwasi kuna wakina dada wana uwezo wa kukupa hizo blackberry kumi.
 
Duh! Mtaua wadada wa watu bure, Blackberry na Kunywa ARV kilasiku jipi bora? Make ure choice.
 
Nna uhakika aliyeanzisha uzi si raia wa dar es salaam!!!!wadar es salaam hawana umbwiga huu!
 
Back
Top Bottom