Nataka kumuua mbwa

Mlete Masaki atapata mtu atakaye mtunza tena atakuwa ana ishi ndani wala sio nje!
Mtafute mtu akusaidie kumgawa bure, lakini please usimuue jamani kiumbe mzuri sana huyo!
OK, sawa
Ila hata mimi huku ninaishi nae ndani
 
Hawa Mbwa ni Belgium Malinois siyo kabisa wanakuwa wakali sana infact hii post siamini sana maana
 
Usimuue ila kama unataka awe mkali mvutishe bange!
 
Huyu sindiye yule aliyekua akitafutwa kule kwenye parking ya meli kisha ikasemekana alikua tuition [emoji848]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…