Nataka kumuua mbwa

Mbwa huwa anapigwa risasi 1 tuu ya kichwa, kwisha hzbari!
 
Tatizo amekuwa sio kama, alivo kua zamani sio mkali tena
Mlete Masaki atapata mtu atakaye mtunza tena atakuwa ana ishi ndani wala sio nje!
Mtafute mtu akusaidie kumgawa bure, lakini please usimuue jamani kiumbe mzuri sana huyo!
 
Ana miaka minne na
Ni dume, chief tatizo NILIMHASI mwakajuzi
 
Sio vzur mkuu usiue kikatili kwa sumu.mgawe au nenda kwa watu wa wanyama wamuue kwa njia isiyo na maumivu.kumbuka alikuwa rafiki yako huyo before usifanye hvo aisee
Nashukuru kuna captain kwa ushauri wako
 
Dah....nenda naye Iringa...bora something kuliko nothing...
 
Utakuwa umeanza kufuga hivi karibuni bila shaka'ukikaa na mbwa muda mrefu sana hatakaa uwaze kuwauwa wanakuwa sehemu ya familia.
Ni mwaka Wa nne ninae kamanda sijaanza hiv karibuni tatizo kuna wezi walimpa dawa mpaka sasa si mkali tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…