Kiukweli mahusiano yana changamoto nyingi sana Pole sana nimefurahi tu hayo maeneo uliyoyataja Tanga, Niliposikia Raskazone hadi mwili ukanisisimka aisee Nimepamic Tanga kwakweli,Chumvini,Mwamboni, makorora, kwaMinchi, Sahare, Donge, barabara ya1_20, nguzo8, mwambani beach,Kisosora, nguvumali, Kange,M/mapana, bila kuisahau club LAKASACHIKA