Na ikawaje ukaachana na Huyo dada?
Pole daktari msomi umri ungekuwa tunaendana ningekufarijiI moved on...usinifanye nifukue zaidi ya hapa please.
Siku hizi nafanya tafakuri za moyoni zaidi.
I appreciate couple yenu. Mjitahidi mtufikie mimi na my sweet Manka Evelyn Salt
Waliona walivyokuwa wakipendanaIlikuwa ndoto yangu. Ndoto ya miaka mingi ijayo........
Wakawakubalia kuwa pamoja mwishoni
Wakafunga ndoa kubwa
Ilikuwa nderemo na vifijo, vibwebwe na vigoma
Wakapata watoto
Na wakaishi kwa furaha maisha yao yote.
[/SIZE][/I][/B]