Nataka kumuoa huyu binti ila tabia zake zinatetemesha sana

Habari ndugu zangu,

Katika kundi la wanawake zangu kadhaa wa kadha nilionao, nimejikuta nimeangukia kumpenda binti anayetokea na kukulia maeneo ya Mlima Meru huku Arusha ndugu zangu.

Nipo nae kwenye mahusiano ya wastani lakini nimejikuta moyo unanisukuma sana kumuoa ila nikikumbuka mienendo yake na choka kabisa.

Yupo hivi ndugu zangu.

1. Ni binti mwenye umri wa miaka 23-25 na nimlokole haswa ila aliwahi kuwa na mahusiano ya kavunjika anasema mwanaume alimuacha tuu bila yeye kujua sababu ni nini, japo aliingia kwenye mahusiano mengine jamaa wazazi wakazingua na baadae mimi hapa ninae songa naye ndugu zangu.

2. Anapoabudu pana umbali wa si chini ya kilometa kumi kutoka anapoishi , japo huko kuna nyumba za ibada ila ndiyo hivyo.

3. Wazazi wa huyu binti waliwahi kumkataa mwanaume aliyetaka kumuoa huyu binti hapo nyuma kutokana na sababu binafsi za wazazi wake binti.

4. Wakati naanza nae mahusiano alionyesha kutokuniamini na baadae akaamua kukubaliana na mimi nikamuweka rasmi kwenye list yangu.

5. Hanitafuti kabisa mpaka ni mtafute mimi na nikisema nipige kimya tunaweza maliza hata mwezi ndugu zangu, yani ni ukweli usiopingika hanitafuti kabisa labda nianze kumtafuta mimi na siyo vinginevyo.

6. Alishawahi kuniambia mimi ndiye mwenye maamuzi ya kumuoa au kutomuoa maana yeye hajui nawaza nini kichwani mwangu.

7. Alishawahi kunambia ghafla tu hataki tena nyumbani kwao ili aje tuu geto tuanze maisha japo nilimjibu kuwa atulie asiwe na haraka nataka kumuoa hivi karibuni kwa kufata taratibu husika na halali ila baadae aliniambia alikua ananipima tuu.

8. Aliwahi kuniita majina ya mahaba mara moja tuu ila tokea hapo hajawahi niita tena kwa namna yeyote ile. Yani ikitokea tumewasiliana inakua ni kama kusalimiana na mpita njia tuu yani.

9. Hajawahi kuniomba Hela kabisa binti wa watu wala chochote kile huu ni ukweli na waambieni.

10. Yupo tayari kuwa mke wangu ila naona ni mgumu sana asee ikitokea nimesafiri anaweza asinitafute hata mwaka eti, kwajinsi tu alivyo kama mimi sitomtafuta wa kwanza.

11. Yupo tayari kua mama wa watoto wangu.

12. Yupo tayari kuishi maisha yoyote yale kwa mujibu wa maelezo yake na jinsi alivyo alivyo tuu ukimuona.

13. Hawezi kuvaa suruali au nguo yeyote fupi kwake hataki kabisa anapenda kuficha sana mwili wake.

Ndugu zangu nishaurini hapa nioe au niendelee kuongeza namba ya wanawake nilio nao wakuu maana naona kabisa hapa nikioa na ikitokea nimesafiri sijui kama atanitafuta huyu hatakujua huko nilipo naendeleaje kama mimi nisipo mtafuta.

Asanteni wakuu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huyu namjua,Mimi ndo niliyemuacha bila taarifa.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Sijaona tatizo kubwa hapo zaidi ya communication gap. Kama mtu yuko tayari kuwa na wewe si umweleze hayo mapungufu ili abadilike akishindwa kubadilika kula kona. Inaonekana kuna poor communication btn you two
 
hahaahahah...mimi ninaye mmoja ni MUIRAKI....wa babati hapo..acha kabisa... Ukikuta neno i love you kwa sms,basi atakuwa kaandikiwa... hawako romantic kiviileee...ila wanaonesha kabisa jinsi anavyokupenda.. halafu wana wivu sana, anaweza hata kukukata kitendea kazi..ukimletea za kuleta
 
Habari ndugu zangu,

Katika kundi la wanawake zangu kadhaa wa kadha nilionao, nimejikuta nimeangukia kumpenda binti anayetokea na kukulia maeneo ya Mlima Meru huku Arusha ndugu zangu.

Nipo nae kwenye mahusiano ya wastani lakini nimejikuta moyo unanisukuma sana kumuoa ila nikikumbuka mienendo yake na choka kabisa.

Yupo hivi ndugu zangu.

1. Ni binti mwenye umri wa miaka 23-25 na nimlokole haswa ila aliwahi kuwa na mahusiano ya kavunjika anasema mwanaume alimuacha tuu bila yeye kujua sababu ni nini, japo aliingia kwenye mahusiano mengine jamaa wazazi wakazingua na baadae mimi hapa ninae songa naye ndugu zangu.

2. Anapoabudu pana umbali wa si chini ya kilometa kumi kutoka anapoishi , japo huko kuna nyumba za ibada ila ndiyo hivyo.

3. Wazazi wa huyu binti waliwahi kumkataa mwanaume aliyetaka kumuoa huyu binti hapo nyuma kutokana na sababu binafsi za wazazi wake binti.

4. Wakati naanza nae mahusiano alionyesha kutokuniamini na baadae akaamua kukubaliana na mimi nikamuweka rasmi kwenye list yangu.

5. Hanitafuti kabisa mpaka ni mtafute mimi na nikisema nipige kimya tunaweza maliza hata mwezi ndugu zangu, yani ni ukweli usiopingika hanitafuti kabisa labda nianze kumtafuta mimi na siyo vinginevyo.

6. Alishawahi kuniambia mimi ndiye mwenye maamuzi ya kumuoa au kutomuoa maana yeye hajui nawaza nini kichwani mwangu.

7. Alishawahi kunambia ghafla tu hataki tena nyumbani kwao ili aje tuu geto tuanze maisha japo nilimjibu kuwa atulie asiwe na haraka nataka kumuoa hivi karibuni kwa kufata taratibu husika na halali ila baadae aliniambia alikua ananipima tuu.

8. Aliwahi kuniita majina ya mahaba mara moja tuu ila tokea hapo hajawahi niita tena kwa namna yeyote ile. Yani ikitokea tumewasiliana inakua ni kama kusalimiana na mpita njia tuu yani.

9. Hajawahi kuniomba Hela kabisa binti wa watu wala chochote kile huu ni ukweli na waambieni.

10. Yupo tayari kuwa mke wangu ila naona ni mgumu sana asee ikitokea nimesafiri anaweza asinitafute hata mwaka eti, kwajinsi tu alivyo kama mimi sitomtafuta wa kwanza.

11. Yupo tayari kua mama wa watoto wangu.

12. Yupo tayari kuishi maisha yoyote yale kwa mujibu wa maelezo yake na jinsi alivyo alivyo tuu ukimuona.

13. Hawezi kuvaa suruali au nguo yeyote fupi kwake hataki kabisa anapenda kuficha sana mwili wake.

Ndugu zangu nishaurini hapa nioe au niendelee kuongeza namba ya wanawake nilio nao wakuu maana naona kabisa hapa nikioa na ikitokea nimesafiri sijui kama atanitafuta huyu hatakujua huko nilipo naendeleaje kama mimi nisipo mtafuta.

Asanteni wakuu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Inawezekana keshaumizwa sana hvy hataki mateso Tena,kapime akiwa vzr uoe mkuu
 
Kheeeeeh? Angekua anaomba pesa ungeona mdangaji, haombi bado ni tatizoo, duuuh binadamu bhana
Lazima aombe hata kidogo bana maana hakuna mwanamke asiye omba hela kwa mwanaume kabisa sasa yeye haombi hela kabisa kabisa, napata mashaka sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Habari ndugu zangu,

Katika kundi la wanawake zangu kadhaa wa kadha nilionao, nimejikuta nimeangukia kumpenda binti anayetokea na kukulia maeneo ya Mlima Meru huku Arusha ndugu zangu.

Nipo nae kwenye mahusiano ya wastani lakini nimejikuta moyo unanisukuma sana kumuoa ila nikikumbuka mienendo yake na choka kabisa.

Yupo hivi ndugu zangu.

1. Ni binti mwenye umri wa miaka 23-25 na nimlokole haswa ila aliwahi kuwa na mahusiano ya kavunjika anasema mwanaume alimuacha tuu bila yeye kujua sababu ni nini, japo aliingia kwenye mahusiano mengine jamaa wazazi wakazingua na baadae mimi hapa ninae songa naye ndugu zangu.

2. Anapoabudu pana umbali wa si chini ya kilometa kumi kutoka anapoishi , japo huko kuna nyumba za ibada ila ndiyo hivyo.

3. Wazazi wa huyu binti waliwahi kumkataa mwanaume aliyetaka kumuoa huyu binti hapo nyuma kutokana na sababu binafsi za wazazi wake binti.

4. Wakati naanza nae mahusiano alionyesha kutokuniamini na baadae akaamua kukubaliana na mimi nikamuweka rasmi kwenye list yangu.

5. Hanitafuti kabisa mpaka ni mtafute mimi na nikisema nipige kimya tunaweza maliza hata mwezi ndugu zangu, yani ni ukweli usiopingika hanitafuti kabisa labda nianze kumtafuta mimi na siyo vinginevyo.

6. Alishawahi kuniambia mimi ndiye mwenye maamuzi ya kumuoa au kutomuoa maana yeye hajui nawaza nini kichwani mwangu.

7. Alishawahi kunambia ghafla tu hataki tena nyumbani kwao ili aje tuu geto tuanze maisha japo nilimjibu kuwa atulie asiwe na haraka nataka kumuoa hivi karibuni kwa kufata taratibu husika na halali ila baadae aliniambia alikua ananipima tuu.

8. Aliwahi kuniita majina ya mahaba mara moja tuu ila tokea hapo hajawahi niita tena kwa namna yeyote ile. Yani ikitokea tumewasiliana inakua ni kama kusalimiana na mpita njia tuu yani.

9. Hajawahi kuniomba Hela kabisa binti wa watu wala chochote kile huu ni ukweli na waambieni.

10. Yupo tayari kuwa mke wangu ila naona ni mgumu sana asee ikitokea nimesafiri anaweza asinitafute hata mwaka eti, kwajinsi tu alivyo kama mimi sitomtafuta wa kwanza.

11. Yupo tayari kua mama wa watoto wangu.

12. Yupo tayari kuishi maisha yoyote yale kwa mujibu wa maelezo yake na jinsi alivyo alivyo tuu ukimuona.

13. Hawezi kuvaa suruali au nguo yeyote fupi kwake hataki kabisa anapenda kuficha sana mwili wake.

Ndugu zangu nishaurini hapa nioe au niendelee kuongeza namba ya wanawake nilio nao wakuu maana naona kabisa hapa nikioa na ikitokea nimesafiri sijui kama atanitafuta huyu hatakujua huko nilipo naendeleaje kama mimi nisipo mtafuta.

Asanteni wakuu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huyo sio Mlokole anaigiza tu,Mlokole gani ANAZINi sasa?
 
Sijaona tatizo kubwa hapo zaidi ya communication gap. Kama mtu yuko tayari kuwa na wewe si umweleze hayo mapungufu ili abadilike akishindwa kubadilika kula kona. Inaonekana kuna poor communication btn you two
Kabisa hapa mawasiliano ndiyo shida mkuu yani yana anzia kwangu tuu. Yeye hawezi anzisha mawasiliano na kawa sugu sasa.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Umri wake una range hapo ndugu.. nimetumia lugha hiyo ya namba

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kabla hujaingia kwenye ndoa jaribu kuweka baadhi ya vitu SAWA hasahasa haya mambo madogomadogo ,,,,usione watu wanashindwa kuishi kwenye ndoa nikushindwa kuelewana kwenye vimigogoro vidogovdogo,,,mtakuwa mnapishana kidogokidogo mwisho mnachokana,,,wew kama faza mtarajiwa jaribu kufunguka penye nyeupe sema nyeupe sio unapenda pinda
 
Back
Top Bottom