Yellow card
Member
- Mar 7, 2015
- 40
- 7
Badala hata ya kutuainishia huo utovu wa nidham tujue tunakusaidiaje unakimbia kuacha tuuu sasa utawaacha wangap na angalia na background ya bi mkubwa wako coz wengne huwa watata mmo.
Na pia unaweza kuta hakumwelewa mwanamke wako toka umemwoa dat y hvyo so chunguza usikurupuke
jamani ila kunw wanawake hawana adabu na wakwe zao
yaani ana mdomo mchafu usiombe ikukute hii kitu utagombana na kila mtu
Fedora i know difficulties it is kua na mke km huyo
hao wanaokuona bogas hao hawajui tu
na hyo ndoa hapo ht raha na amani hamna
nenda jukwaa la sheria...
nyie mnaosema hatuolewi wanaume wenyewe ndo hawa.??
Mkuu STOP !! Niwieradhi kakangu... Kimantiki wewe ndo umekosea !!! Hebu jirudi utafakari vipi umpeleke kwenu ktk uzazi?
alafu Mama ni mtu mzima huwa ana misongo yake binafsi! Obviosly picha haztoenda vizuri hapo!! Na wakati huohuo Mke yupo mwezi wake wa mwisho...So lazima patakuwepo taharuki za kike!! Think wise,twice!!
Looohh hapo hakuna mume
Kama sheria itanitaka nifanye hivyo ntatoa