mambo ya nyakati
Senior Member
- Aug 24, 2022
- 115
- 149
Kwa nini unampenda?Habari wakuu,
Naombeni kunisaidia njia ya kumuacha mwanamke unayempenda sana, yaani ukikaa dk 5 lazima umuwaze...
Soma vizuri.Sasa kama hakuna tatizo na unampenda kwanini umuache?
Kashasema ana mtoto ni single Maza unahoji nini tena hapoSasa kama hakuna tatizo na unampenda kwanini umuache?
Single maza kwani Wana tatizo gani??Kashasema ana mtoto ni single Maza una hoji nini tena hapo
Yah mkuuMuache haraka sana, itakugharimu siku za mbeleni
Kabla hata ya kujuanaKwann umuache na unampenda kwani mtoto anaazuia kitugani kwenye mahusiano yenu
Nowdays kupendwa ni bahat sana na kumpata mtu mkaelewana ni habari nyingine
Hao wanaume sita wakat mpo pamoja au before??
Ila mara nyingi wanaokosea ndo huwa akili zinatulia sio rahisi kurudia Kosa pia past watu wanakutana na vitu vingi sana inawezekana pia hakupenda kuwa single mama pia lakini past yake ndo ikamfanya awe Bora Zaidi Leo kama unampenda na unaamini anakupenda ilo ndo la muhimuKabla hata ya kujuana
P p broNi ngumu sana mwamba lakini ukiamua toka moyoni inawezekana japokua itachukua muda.Hatua ya kwanza kata mawasiliano.
Wana matatizo mengi tu, cha kwanza wanafanya malengo na watoto wao yani wanaingia kwenye mahusiano kwaajili ya kutatua matatizo yake ya kiuchumi yeye na mtoto wake.Single maza kwani Wana tatizo gani??
Sana kutoka moyoniKwa nn unampenda?
Kumbe lkn ni mtazamo sidhani km ni uhalisiaWana matatizo mengi tu, cha kwanza wanafanya malengo na watoto wao yani wanaingia kwenye mahusiano kwaajili ya kutatua matatizo yake ya kiuchumi yeye na mtoto wake, kwa kifupi single mother %99 wanaingia kwenye mapenzi kwaajir ya kupata pesa za kulea mwanae tu yaani hawaangalii jambo jingine zaidi ya kutaka kupewa pesa tu ya kumlea mwanae.