mambo ya nyakati
Senior Member
- Aug 24, 2022
- 115
- 149
Habari wakuu,
Naombeni kunisaidia njia ya kumuacha mwanamke unayempenda sana, yaani ukikaa dk 5 lazima umuwaze. Nahitaji kumuacha kwasababu zangu binafsi, ingawa ananipenda sana na mimi nampenda sana kutoka kwenye moyo wangu.
Cha kwanza amenizidi umri miaka 9, cha pili ana mtoto, cha tatu kashaachana na wanaume sita ambao mimi nimewashuhudia na bado sijui huko nyuma. Kwa jinsi ninavyompenda naelekea kuwa chizi kabisa, ameniteka ufahamu wangu na moyo ila nataka nimuache.
Je, nitumie mbinu gani?
Asanteni.