Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,612
- 65,066
- Thread starter
- #21
ha ha ha ha kopa tu huko uliko mkuu,utarudishiwa ukifika eneo la tukio
ha ha ha ha kopa tu huko uliko mkuu,utarudishiwa ukifika eneo la tukio
Kama umeoa omba ushauri kwa mkeo, hakika hatokuangusha na utafanikiwa kumuacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha.Kama umeoa omba ushauri kwa mkeo, hakika hatokuangusha na utafanikiwa kumuacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha kopa tu huko uliko mkuu,utarudishiwa ukifika eneo la tukio
ha ha ha naweza kukosa vyote mkuuMwambie mke wako akupe mchango wa hali ili uweze kuachana na huyo mchepuko
Siombi itokee hivyo mkuu
ha ha ha tatizo ni kifaa mkuu😂😂😂 ushatengenezwa ww huchomoki hapo.
Bila mijeledi mambo hayaendi.Naogopa mijeledi mkuu
Nini mkuu