Nataka kumsaliti mume wangu

^^
Hiyo tofauti ya umri wenu 49-26= 23
Ilikuwa ndoa ya kulazimishwa? Au nini ulichoficha kabla ya kufikiria uamuzi huo?
^^
Amefuata fedha hapo ndo tamaa tunazozisema hizo,unafikiri angempata Young boy mwenzake angekuwa ana--t...i--w.....a kila siku angekuja kulalamika hapa?
 
Umeongea naye kuhusiana na hilo akakujibu nini? au umeona umri wake umeenada hana mvuto tena,hao wanaokudanganya kuwa wewe ni mrembo hawakukuoa waliishia kukuchezea tu umepata aliyekusitiri unasahau,ukiachika hao unaosema wanakusifia wanauwezo wa kukugharamia kama mumeo? Usichukue udhaifu wa mumeo kama fimbo ya kumuadhibu usipozingatia utakuja kujuta,kama unataka kuendelea na hao wengine mwambie mbaba wa watu kuwa hakuridhishi ili akuache uende huko usije ukamletea maradhi!
 
Ceteris paribus; age ina influence kubwa kwenye uhakika wa kupata huduma 6X6

Afu na zile za wazee wametulia zimeshaanza kuto ku apply; game hawaliwezi na bado wanakitembeza; hasa wakiwa na pesa (ATM)...huyu huyu mleta uzi alikuwa analalamika mzee akitulizi ndani...sasa kwa nini nisile raha na kijana mwenzangu miye...


 
mke mwema humchana mumewe (sio viwembe!!) kwa kumwambia facts zilizoko moyoni!

ni bora uweke unajiunga nae kuangalia movie hizo anazozitolea macho!

inapofika sehemu ya romance na nini, jimwage na wewe bana!!

usikae nalo moyoni, they say, mapenzi yana moments za childish!! na hizo ndizo huleta msisimko...!!!

dada jishushe ubebwe bana!!

cc.. my lovely! Passion Lady!
 
Last edited by a moderator:
Huu umri wa mumeo -49 years -ni sawa na wa William Malechela (Le Mutuz) na umri wako 26 ni sawa na ule wa mchumba wake. Je, unayemzungumzia ndiye huyo, huyo Le Mutuz???????

ata mm nme gutuka hasa alivyo sema yupo busy na muv....
 
ulilazimishwa kuwa naye? kama huridhiki naye si muachane kuliko kujiweka kwenye hatari ya kupata magonjwa na umeshasema hamjafunga ndoa what are you waiting for?
 
Kama mumeo anatoka, je wewe ni salama kiasi gani? Kuna wanawake au wanaume wameshauawa na wenzi wao sasa wewe ukijifanya kumwibia inakuwa na wewe umejitakia kifo. Unaenda kumwibia kifagio unajipenda wewe? We tulia huku usiendeleze mauaji ya kimbari. Tacaids wanakazana kushusha maambukizi wewe unaleta mada gani?
 
Sasa kama ufataki wake hauupendi hujui alianzia kwako vumilia kama vipi ushauri wangu kunywa sumu au ujinyonge tu lazima utamkomoa huyo babu mdogo.Ujana maji ya moto ila huyo mzee kashayatia mikono hatutaki kuoga shombo.Mjini msingi kiuno.......itaendelea
 
wewe ulimpenda jamaa kwa sababu ya pesa halafu unataka kuliwa 0712. Pumbaaafu. JF hatuachanishi wapendanaooooooooooooo
 

Tukiwashaur muolewe na damu moto mwagifanya wajanja,UTAKUWA CASE STUDY
 

umeolewa, ila hamjafunga ndoa? hebu dadavua hiyo aina ya maisha mnayoishi, maana sio ndoa. wewe ni small house yake? kaacha family yake akaja kuishi na wewe? if no, kwa nini mnaishi tu bila kufunga ndoa.


kukuoa wewe ukiwa na miaka 21 na yeye 45 ni aina flani ya ufataki.
 
tukiwaambia msifuate hela hamtusikii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…