Nataka kumsaliti mume wangu

Hahahaa hii nashushia na lunch yangu,
 
Pole bi dada, ila yawezekana shemeji uzee wamsumbua nguvu zake ndo hivyo zayoyoma


Kaa nae chini umweleze ukweli vile wajisikia na vitu gani wavikosa.kwake.
 

sio ndo mnawataka mnasema vijana wanawapa stress kwa kifupi huyo ni baba yako vumilia tu. Ukitoka nje lazma upgwe chini na hao unaowataka hakuna atakaye weza kukuoa utaishia kuwa uwanja wa bibi kila mtu atachukulia mazoez
 
aahahah weeee dont try this kumu home!! ni hatari

 
Kwa dini ya kikristu hivyo mnavyoishi ni dhambi kubwa na haikubaliki. Aidha funga ndoa au achana na huyo mtu.
 

Unaonekana hukumpenda huyo babu bali mali zake.miaka 21 ukaish na huyo mzee??? Ulikosa vijana? Hapo tu credibility yko imeshuka na inaonyesha hujatulia.pia nakuhurumia unakosa meng jaman poleeeee
 
alafu na yeye atakuja hapa saiv na thread kuwa wewe unamboa anaomba ushauri wa kutoka nje,hapo ndo itakuwa ngoma droo
 
davina Huyo SIYO mume wako kwasababu hamjafunga ndoa. Samahani kwa ukweli mchungu,lakini wewe ni mwanamke wake tu sawasawa na hao anaowafuata huko nje. Kwakuwa anatembea nje, ni sababu tosha ya kutokuwa na hamu na wewe. Pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Unaonekana hukumpenda huyo babu bali mali zake.miaka 21 ukaish na huyo mzee??? Ulikosa vijana? Hapo tu credibility yko imeshuka na inaonyesha hujatulia.pia nakuhurumia unakosa meng jaman poleeeee

Hahahah aaaah wap maisha nmekula sna smz napata kila nachohitajiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naenda nnapotaka natumia usafiri nnaoupendaaaa mm Mungu anpe nn tynaaaaaa
 
nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

Nani kakwambia wanakutaka? wanakutamani wakutumie kwa sababu uko na huyo uneetaka kumsaliti. Akikuacha thubutu kama hata mmoja wao atakutaka. The grass is always greener on the other side.
 
Kwa kifupi hili ni tangazo la biashara japo lipo indirect sema tu umeshindwa kulipeleka jukwaa linalohusika kama love connect. Hiyo age kwa mwanaume sidhani kama ina tatizo unless kuwa tatizo specific la kiafya.

Kifupi umesomeka, utapata PM nyingi tu maana najua hata hao watatu unaowasema sio lengo, bali lengo ni kupata wapya humu na thus why unasema wewe ni mrembo tu.

cc davina, all the best japo naona unapotea maana njia ulioamua kuchukua dah shetani anafurahia balaa
 
Last edited by a moderator:
peleka tangazo TBC
utawahi offer za mwaka mpya!
 
af unakuwaje umeolewa halafu hujafunga ndoa?
akili za papuchi huna hata za kichwani??
 
Yaan miaka 26 unaolewaa na mtu ashajichokeaa bado hakujali,na una kazi yako! !!mbona wanishangazaaaa
Bora uachikee ndugu
Haha umri ule mi nilijua atakuhandle maana watu wazima wanajua kucare leo kwa huyu mmeo ni tofautiii
 
Yaan miaka 26 unaolewaa na mtu ashajichokeaa bado hakujali,na una kazi yako! !!mbona wanishangazaaaa
Bora uachikee ndugu
Haha umri ule mi nilijua atakuhandle maana watu wazima wanajua kucare leo kwa huyu mmeo ni tofautiii

ananicare kwa kila kutu icpokuwa apo nliposema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…