Cheo chako hakina mpinzani JoseMMMMH HUYO UMECHEZEA HISIA ZAKE NA ALISHAKUELEZA WAZI HATAKI TENA
AHAHAHA UNA UTANI KWELI WEWECheo chako hakina mpinzani Jose
MKUU WE SI UMESEMA UNA WENGINE WAKAL ZAIDI YAKEBy the way naishi kwa braza ingawa nina kibarua cha kuzugia mjini hapa lakin manzi anaishi geto binafsi rum nzur kodi 80elf kwa mwezi na anaishi pekee in short hana shida wala njaa na mara nyingi alikuwa anansapot kwa mawazo na vijisent viduchu nnapo kwama sasa kipi nifanye
1.niende room kwake nimface na je nimshawishi vipi asichomoe
2. Nimchek kwa njia nyngne km cmu.txt.wasap au marafk zake ??
Nahitaji ki2 ki1 tu "ASICHOMOE" maaana akichomoa ntaumia afu ntajiskia vbaya na haitaniacha salama.
Karibuni wadau kwa mawazo yenu
JohMMMMH HUYO UMECHEZEA HISIA ZAKE NA ALISHAKUELEZA WAZI HATAKI TENA
Anataka alambe Tapishi lake baada ya kuhisi njaa mkuu, ndo anauliza "ALIAMSHE DUDEEEE"?Guys hili gazeti kwenye tecno yangu ya kioo nchi nne ni zito.
Naomba mtu asummarize
KARIBU SANA MKUU USIJALIJoh
Naomba niwe Rafiki yako tafadhali!
Ahsante.
Shikran sana mkuuKARIBU SANA MKUU USIJALI