Nataka kulima karanga during dry season

shonkoso

JF-Expert Member
Mar 13, 2015
671
1,427
Jamani nikiwa nawaza namna ya kujiajiri na kuzalisha ajira kwa watanzania wenzangu,nimewaza kujaribu kulima karanga kwa kumwagilia pindi mvua ikikata ili niuze zikiwa mbichi,kama kuna MTU anauzoefu wa kiutendaji naomba anishauri namna nzuri ya kulima,lini,aina ya udongo,kiasi cha maji,mbolea nk
 
Back
Top Bottom