rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Salaam wakuu!
Nahitaji gari dogo la kukodi hapa DSM kwa ajili ya kuendea kazini mainly.
Nitaendesha mwenyewe au nikipewa na driver itakuwa bora,kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 6usiku maximum
Ni kwa miezi mitatu nalipa Tshs 14,000 kwa siku, yellow number au white ni sawa.Mafuta naweka mwenyewe.
Siongezi pesa ya driver ; cc 1100 mpaka 1500 maximum.
tuwasiliane kwa rakeyescarl@yahoo.ie au ni PM hapa.
Bajaji ninayo unasemaje ni pm wewe gari huwezi kukodi size yako bajaj!!
Sasa huyu na masharti juu kaweka na bei ya bajaj!!Mkuu vipi lakini mzima??kusema ukweli bei ya kukodi gari kwa self drive kwa Dar siyo chini ya 50,000
kwa amount uliyo iandika bila shaka unahitaji pikipiki,
Kwani tax kwa siku ni TSH ngapi?au we ni mgeni wa biashara za magari?
Hahahahahahaaa!!!!!Sasa huyu na masharti juu kaweka na bei ya bajaj!!Mkuu vipi lakini mzima??kusema ukweli bei ya kukodi gari kwa self drive kwa Dar siyo chini ya 50,000