Mbususu imepoaKumbe mrembo upo single[emoji7][emoji7][emoji7]
Alafu alinikataa huyu huko pm 🤣🤣🤣🤣Mbususu imepoa
Sii kwa sababu ulinidanganya kuwa una bwana wako 🤣🤣🤣🤣😂😂Wew umeona single tu hapo😂😂😂
Wee kama mtoto anakuoenda na kukuita mama usijitenge nae. Yeye hana kosa. Ila kuwa makini tuu ex asije tumia chance hiyo kuja kula tunda kimasihara😂😂😂😂😂😂Hebu toa ushauri kwanza
Umeongea point✓Na ukijiona nafs Yako Haina huruma ujue umehama kwenye ubinadamu ni kiumbe kingine kabisa
Haya unatuambia sie hapa ila kiuhalisia najua huyo jamaa siku akikwambia mtoto anaumwa ukienda kumtembelea tuu kwisha habari yako😂Ashindwee😀
Watoto wana upendo wa kweli, kama ukiwajali