comson JF-Expert Member Dec 22, 2010 288 41 Sep 15, 2011 #1 Hv wana JF huyu maalim Seif Sharif Hamad ana kazi gani......? Au ndo yale mamlaka makubwa lakini ni kama bure tu.
Hv wana JF huyu maalim Seif Sharif Hamad ana kazi gani......? Au ndo yale mamlaka makubwa lakini ni kama bure tu.
IGWE JF-Expert Member Feb 3, 2011 9,463 7,387 Sep 15, 2011 #3 comson said: hv wana jf huyu maalim seif sharif hamad ana kazi gani......? Au ndo yale mamlaka makubwa lakini ni kama bure tu. Click to expand... kazi yake kubwa ni kutembelea na kuzindua miradi hii ikiwa ni pamaoja na kukipigia debe chama cha magamba,......tafakari
comson said: hv wana jf huyu maalim seif sharif hamad ana kazi gani......? Au ndo yale mamlaka makubwa lakini ni kama bure tu. Click to expand... kazi yake kubwa ni kutembelea na kuzindua miradi hii ikiwa ni pamaoja na kukipigia debe chama cha magamba,......tafakari
Ringo Edmund JF-Expert Member May 10, 2010 4,879 1,125 Sep 15, 2011 #4 Ndio ndoa za ukubwani unaacha wanao wanatangatanga wewe unajichana na bwana mwenye pesa za kifisadi wakati hata kizazi kilishaondolewa.
Ndio ndoa za ukubwani unaacha wanao wanatangatanga wewe unajichana na bwana mwenye pesa za kifisadi wakati hata kizazi kilishaondolewa.
T Trice Sturmius Member Sep 8, 2011 41 3 Sep 15, 2011 #6 Filipo said: Nadhan ni kazi moja tu. Kuuza sura! Click to expand... <br /> <br /> umenena filipo
Adrian Stepp JF-Expert Member Jul 1, 2011 2,764 2,581 Sep 15, 2011 #7 RINGO EDMUND said: Ndio ndoa za ukubwani unaacha wanao wanatangatanga wewe unajichana na bwana mwenye pesa za kifisadi wakati hata kizazi kilishaondolewa. Click to expand... na hata kama kizazi hakijaondolewa basi mayai ya tumboni yatakua viza
RINGO EDMUND said: Ndio ndoa za ukubwani unaacha wanao wanatangatanga wewe unajichana na bwana mwenye pesa za kifisadi wakati hata kizazi kilishaondolewa. Click to expand... na hata kama kizazi hakijaondolewa basi mayai ya tumboni yatakua viza
Adrian Stepp JF-Expert Member Jul 1, 2011 2,764 2,581 Sep 15, 2011 #8 Filipo said: Nadhan ni kazi moja tu. Kuuza sura! Click to expand... na kuuliza wannanchi "SAWA SAWA??
Filipo said: Nadhan ni kazi moja tu. Kuuza sura! Click to expand... na kuuliza wannanchi "SAWA SAWA??
Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Sep 15, 2011 #9 Hakosi mkasi kwenye kanzu au suti kwaajili ya kukata utepe kwaajili ya kuzindua miradi! Unajingine?